Niliona jirani yangu, sema siku hizi nimekuwa mzembe kweli kuja mitaa hiyo. Ila nitajitahidi kufika ili tuzungumze vizuriJirani kipenzi nilikuwa nakutafuta
Njoo nikupe dawaWakuu shida ni nini kwani? Iv kweli duniani mliona wapi mtu akaleta habari, makala au swala flani tena akatumia muda mwingi kuandika na kuelezea alaf nyie walimwengu makumi kwa maelfu ila wachache sanaaa yaan sanaa ndio mkajibu au kuguswa.
Hii kitu ipo jamii forum bhana, yaani uzi unakuta una views elf 40 alaf comments 60 na likes 12, huu ni ujangili mkubwa sanaa.
Kuna uzi jina siutaji unaviews elf 4 ila comments nne na like mbili, jamani huu sio uharamia kweli? Hawa watu wana roho ngumu wanaweza kuua ata twiga bila huruma.
Wapi duniani ukakuta views elf 30 kwa thread alafu comments 13 na likes 6, mbaya zaidi habari zingine ni kubwa na za maana kabisa.
Wakati mwingine unaona kichwa cha habari kizuri ukifungua uzi unakutana na chenga za mahindi ya kienyeji unaamua kurudi.Wakuu shida ni nini kwani? Iv kweli duniani mliona wapi mtu akaleta habari, makala au swala flani tena akatumia muda mwingi kuandika na kuelezea alaf nyie walimwengu makumi kwa maelfu ila wachache sanaaa yaan sanaa ndio mkajibu au kuguswa.
Hii kitu ipo jamii forum bhana, yaani uzi unakuta una views elf 40 alaf comments 60 na likes 12, huu ni ujangili mkubwa sanaa.
Kuna uzi jina siutaji unaviews elf 4 ila comments nne na like mbili, jamani huu sio uharamia kweli? Hawa watu wana roho ngumu wanaweza kuua ata twiga bila huruma.
Wapi duniani ukakuta views elf 30 kwa thread alafu comments 13 na likes 6, mbaya zaidi habari zingine ni kubwa na za maana kabisa.
Wala usihofu jirani.Niliona jirani yangu, sema siku hizi nimekuwa mzembe kweli kuja mitaa hiyo. Ila nitajitahidi kufika ili tuzungumze vizuri
Wee angalia mpaka sasa msimamo wa ligiMkuu dawa gani tena hahahaah
Wee angalia mpaka sasa msimamo wa ligiView attachment 573624kuna kitu hapa sio bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona katika ubora wako wapo wa dawa[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wee angalia mpaka sasa msimamo wa ligiView attachment 573624kuna kitu hapa sio bure
Sent using Jamii Forums mobile app
Gundu lab mkojo wa fisi ila tiba yake ipoNaona katika ubora wako wapo wa dawa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji117] [emoji117] [emoji117] Kuna kitu hapa sio bure[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]