Uharamia Unaofanyika Jamii Forum

Uharamia Unaofanyika Jamii Forum

Wakuu shida ni nini kwani? Iv kweli duniani mliona wapi mtu akaleta habari, makala au swala flani tena akatumia muda mwingi kuandika na kuelezea alaf nyie walimwengu makumi kwa maelfu ila wachache sanaaa yaan sanaa ndio mkajibu au kuguswa.

Hii kitu ipo jamii forum bhana, yaani uzi unakuta una views elf 40 alaf comments 60 na likes 12, huu ni ujangili mkubwa sanaa.

Kuna uzi jina siutaji unaviews elf 4 ila comments nne na like mbili, jamani huu sio uharamia kweli? Hawa watu wana roho ngumu wanaweza kuua ata twiga bila huruma.

Wapi duniani ukakuta views elf 30 kwa thread alafu comments 13 na likes 6, mbaya zaidi habari zingine ni kubwa na za maana kabisa.
Njoo nikupe dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati mwingine unaona kichwa cha habari kizuri ukifungua uzi unakutana na chenga za mahindi ya kienyeji unaamua kurudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu dawa gani tena hahahaah
Wee angalia mpaka sasa msimamo wa ligi
IMG_20170824_053826_200.jpg
kuna kitu hapa sio bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tunaangalia tu,kama pumba tunapita kushoto!
 
Pengne ni roho mbaya tu, kuna mtu akiona hata inzi kaingia chooni kwake au ametua kwenye kinyesi chake atakasrika na lazma amfukuze, si sababu ya usafi, la hasha anaumia kwa nini anafaidi jasho lake
 
Back
Top Bottom