Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Ndio mjue uwezo wenu mdogo zaidi ya stendi, tumefungwa na stendi nyie mmeshindwaWakimataifa wanafungwa na stand timu ya wapiga debe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mjue uwezo wenu mdogo zaidi ya stendi, tumefungwa na stendi nyie mmeshindwaWakimataifa wanafungwa na stand timu ya wapiga debe.
Huyo refa kilaza kweli kweli...Huyu nae vipi!?Kwani viti vimekua roho vikitoka havirudi! Tutalipa ila sms imefika next time ujinga kama huu tunaondoka na magoli
Ni vigum sana kuelewa yale ya jana pale Taifa kama ww sio mfuatiliaji wa Mpira wa miguu!Chaneta vs David Beckham
shida yako nini wewe churaKwahiyo wew unataka uuawe uwanjani sio, hizi akili za akina profesa pumba kabisaa sijui mnazitoa wapi
muulze tff ya malinzi majibu wanayoAcha kutetea ujinga mkuu, kwa hiyo kama Brazil wanauana ndio na sie tuuane? Unatumia nini kufikiri wewe ndugu[emoji51]
Ivi si ndo yule m'bunge!!?Mkuu Mashabiki wa timu hii mwenyekiti wao alishawaambia ni Mambumbu
Kiukweli mwenye akili timamu huwezi kumlaumu refa apo swala ni kujitambua cc wantanzania bado sana .kama mtu umekaa nyumbani kwako na unaangalia mpira kwenye TV refa anapo kosea kwann hauvunji vitu vyako vya ndani huu ni ujinga tulionao watanzaniaUlitaka warushe biscuit kutuliza ghasia!
Hivi simba mna miaka mingapi hamjawahi kuifunga yanga?Kwa sheria mpya za FIFA, kujibizana na refa ni Straight Red Card.Sasa kumsukuma na kudondoka vile, inakua hakuna mjadala. Hivyo red card kwa muktadha wa alichofanyiwa refa ni halali.
Ama kuhusu maamuz ya kukubali goli au kukataa hapo inabidi kujiridhisha, na TFF wakigundua alizembea, wamchukulie hatua kali refa. Lakini pia Simba nayo inatakiwa iwajibishwe kwa kuchukuliwa hatua kali sana. Simba mchezo wa jana ulikua ni wa kwao. Kiuhakika hawakua na sababu ya kupanic, jana ushindi ulikua wao. Yanga aka Yebo, nimeona hamna kitu. Ni kelele tu, hamna lolote. Wanahiita wa Kimataifa, lakini kiukweli hamna timu pale. Na ndiyo maana mashabiki walipoa sana, na kiukweli ni kama walimwagiwa maji. Idadi ya mashabiki wa Yanga jana ilizidiwa sana na Simba, jambo ambalo ni nadra kutokea.
Huu ni upuuziHuyu nae vipi!?Kwani viti vimekua roho vikitoka havirudi! Tutalipa ila sms imefika next time ujinga kama huu tunaondoka na magoli
Ni hiviii, hata mumlete refa toka mbinguni simba hamna uwezo wa kuifunga Yanga, kwa hiyo usijeenda uwanjani ukiwaza kuifunga yanga, sisi hua tunakua wapole kwa sababu tunajua ya kua tunajua mpira, hata ikitokea tukifungwa ni sehemu ya mchezo, hata mtufunge tunaona kama kunguru kumnyea binadamu sio kwamba mnajua mpira ila mmebahatisha tuu. Sasa msitake kulazimisha ushindi wakati uwezo wa kushinda hamkonaoSiku nyingine refa akileta ujinga tutaenda pale katikati kwenye pitch zile nyasi zote tutazilima....tff wanatakiwa kuacha upuuzi wasimamie soka sio wanaleta fitna..