Uhasama wa Leo: Tan VS Kny AFCON ni Sawa na ule wa USA VS Iran World Cup?

Uhasama wa Leo: Tan VS Kny AFCON ni Sawa na ule wa USA VS Iran World Cup?

Jaman wakuu please tupen link tuchek online kupitia app za simu mm sina TV na vibanda umiza viko mbali sio vema kuzurura usiku
 
Tuwafunge ili wazidishe hasira za kutufukuza kwao kenya,
Tz ni iran alafu nyang'au ni America,
 
Taifa Stars ikishinda leo nitaenda kufanya vurugu MAGOGONI kwenye Jumba Jeupe
 
... suala la kitaifa linapotumika kutafuta sifa binafsi au za vikundi vichache ni tatizo sana! Ile timu imebeba bendera ya taifa hivyo matokeo yoyote itakayopata yawe ya taifa zima and not for praising some people usually for political gains if the team wins! Shida ya msingi iko hapo!

Kama wewe ni mzalendo kaa na uzalendo wako, wenzie leo ni Harambee kwa saaaaaaana
 
Back
Top Bottom