Uhasibu na Wahasibu

Uhasibu na Wahasibu

B101

Member
Joined
Oct 30, 2008
Posts
16
Reaction score
1
Jamani wahasibu wa Tanzania, chukueni muda kujua ni standards gani zinatumika kwa mazingira ya kihasibu TANZANIA. Kutokana na wimbi la utandawazi kuwa kubwa kiasi cha kuwafunua macho wahasibu wa kitanzania katika standards na practices za kihasibu ambazo ama hazihusiki au zimepitwa na wakati kwa mazingira ya kwetu. Standards hizi zinaaply kwa Tanzania, kama nilivyonukuu kutoka kwenye tovuti ya bodi ya wahasibu na wakaguzi Tanzania (NBAA)

IFRSs: 1,2,3,4 na 5

IASs:1,2,7,8,10,11,12,14,15,16,17,18,19,20,21,23,24,26,27,28,29,30,31,32,33,34,36,37,38,39,40 na 41

ISAs:200,210,230,250,260,320,402,501,505,510,520,530,540,545,550,560,570,580,610,620,710 na 720

Na kuna zile standards za kitanzania ambazo hazina mbadala wa kimataifa

Tanzania Financial Acconting Standards (TFASs):
12-Director's Report
16-Accounting for Extractive Industries
23-Accounting for Value Added Tax(VAT)
24-Public Sector Accounting

Tanzania Statements of Recommended Practice (TSRPs):
2-Accounting for Non-Governmental Organisations
3-Governance in the Public Sector- An Accounting Officer's Perspective

Zingatia, sio kila kitu utasoma darasani!
 
Jamani wahasibu wa Tanzania, chukueni muda kujua ni standards gani zinatumika kwa mazingira ya kihasibu TANZANIA. Kutokana na wimbi la utandawazi kuwa kubwa kiasi cha kuwafunua macho wahasibu wa kitanzania katika standards na practices za kihasibu ambazo ama hazihusiki au zimepitwa na wakati kwa mazingira ya kwetu. Standards hizi zinaaply kwa Tanzania, kama nilivyonukuu kutoka kwenye tovuti ya bodi ya wahasibu na wakaguzi Tanzania
IFRSs: 1,2,3,4 na 5

IASs:1,2,7,8,10,11,12,14,15,16,17,18,19,20,21,23,24,26,27,28,29,30,31,32,33,34,36,37,38,39,40 na 41

ISAs:200,210,230,250,260,320,402,501,505,510,520,530,540,545,550,560,570,580,610,620,710 na 720

Na kuna zile standards za kitanzania ambazo hazina mbadala wa kimataifa

Tanzania Financial Acconting Standards (TFASs):
12-Director's Report
16-Accounting for Extractive Industries
23-Accounting for Value Added Tax(VAT)
24-Public Sector Accounting

Tanzania Statements of Recommended Practice (TSRPs):
2-Accounting for Non-Governmental Organisations
3-Governance in the Public Sector- An Accounting Officer's Perspective

Zingatia, sio kila kitu utasoma darasani!

Ingekua vizuri zaidi kama ungetudondoshea izo nondo apa,especially za Tanzania Standards, maana hata nikijaribu kufungua iyo link ya nbaa inakataa..hii ni forum ya kuelimishana. Karibu ndugu.
 
Mtoa mada ebu nisaidie kuzipata hizi standards maana mimi huku niliko sina access na mitandao hivyo napitwa na wakati
 
Back
Top Bottom