Ahmed Saidi
JF-Expert Member
- Oct 15, 2019
- 1,588
- 3,487
Habari za muda huu Wana JF
Kama nilivyotanguliza hapo juu, maisha mtaani ni magumu sana, kama una roho nyepesi unaweza kata tamaa.
Baada ya kumaliza chuo (bachelor of education) ndio nilithibitisha yaliyosemwa na wengi kuwa maisha ya kitaa ni magumu sana, kwakweli sikua na mishe ya kuniingizia hata buku, then nikaamua bora nijitolee lakini malipo ndio ilikuwa changamoto, nilifanya kazi miezi mitatu bila malipo.
Kwa bahati nzuri rafiki yangu akaniunganisha na kazi ya ualimu shule ya private (pre and primary), basi sikufanya ajizi bhana, nikaomba iyo kazi na nikapata (alhamdulillah)
Nilivyoanza nilikuwa napewa 150k per month lakini baada Kama ya miezi miwili ukapanda na kuwa 170k.
Kwakweli mshahara huu hautoshi hata kidogo, lakini kwa bahati nzuri naishi home, nakula bure, nalala bure ila nachangia bill ya umeme na maji na kidogo katika chakula kwakua nafanya na shughuli za ufugaji wa kuku pia, kwaiyo napata fedha pia kupitia ufugaji ingawa ni kwa kiwango kidogo sana.
Kutokana na kujinyima huko nafanya saving ya 140k kila mwezi, hivyo mpaka sasa nimefanikiwa kuweka akiba ya 1.3 million, najua ni ela ndogo lakin naweza fanya kitu katika ujasiriamali, nimewaza cha kufanya lakini nimekosa jibu la moja kwa moja nifanye nini ukizingatia mkoa niliopo hauna fursa nyingi za kiuchumi (mkoa wa Lindi) na mtaji wenyewe nilionao ni mdogo sana.
Wakuu nawakaribisha mnipe ushauri katika hili, nifanye nini ukizingatia umri unaenda, natamani namimi kuwa na familia yangu na kuwa na maisha mazuri.
Karibuni kwa ushauri.