Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafikiri maisha ni simple kwa kila mtuMpe mchongo wa laki 6 Sasa ili aache wa 170k!!
Nashukuru mkuuUalimu ni Kazi ya kimaskini Sana. Nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kufundisha zaidi ya miaka mitatu lakini nilitoka patupu. Ni AIBU.
Ila nakushauri usiache Kazi. Sikuhizi Biashara zenyewe hazieleweki kufilisika imekuwa kama wimbo vile.
Ila Karibu kwenye fani zetu za Ufundi uwezi kukosa kitu.
Mimi hapa Fundi Bomba
Fundi Kupaua
Fundi Umeme
Fundi simu na computer
Jifunze hapo hata kimoja hutolala njaa.
Nashukuru kwa ushauri,Mpaka hapo mbona Kama huna haha ya ushauri ndugu maana unaonekana umejipanga, una malengo na mikakati
Kikubwa endelea na kazi yako kwakua bado upo nyumbani na usishawishike kwenda kupanga !
Endelea ku save huku ukiwaza namna ya kuwekeza pesa zako.
Nashukuru kwa ushauri, ili naliona rahisi kulifanyia kazi, Asante sanaMkuu nikupongeze ww ni winner kusave kuasi hicho kwa mshahara huo your such a champion. Nikushauri endelea na huo huo ufugaji.
Ongeza mtaji, panua banda na uongeze kuku wa mayai au hata nyama fanya lolote kukuza hiyo shuhuli maana unauzoefu nayo anza kuinvest laki 5 kwanza huku ukiendelea kusave. Kipato chako kwenye kuku kinavyokwa ndo unavyozidi kuongeza mtaji zaidi
Trust me hiyo shuhuli ukifanya serious na kwa ueledi itakufikisha mbaliii. Usiruke kuanzisha kitu kingine au kufanya biashara nyingine ambayo hujawahi ifanya, by the time uanze kujifunza kuhusu changamoto ya biashara mpya hicho kimtaji kitakua kimeshapuputika
Ni ushauri tu ndio nahitaji hasa kituka kwa watu from my localitymi naona kuna mahali unatuokota, huitaji ushauri ila kuna jambo unajaribu kushauri watu.
Nipo town, ila sina kabisa experience na iyo biashara, nafikiri watu waliosemea pharmacy au MD ndio wanaweza fanya kwa ufanisi iyo biasharamkuu mimi nakushauri hiyo 1.3 inatosha kufunguwa duka la dawa kama upo kijijini au town gharama zinatofautiana katika uandaji wa ofisi kati ya mjini na kijijni ,kwa town 800 inatosha kuanzia kuandaa ofsi hadi kusajiri iliyobaki mzigo,ila kijijini 500 inatosha kuandaa hadi kusajiri iliyobaki mzigo kwa maelezo mengine kuhusu kusajiri muhudum wa duka na uendeshaji kama itakupendeza basi tuulizane
Kuoa natamani ila si unajua mahitaji ya mwanamke na familia, nimepanga niwekeze kwanza alafu ndio nivute jikoNakushauri tafuta binti uoe tumia hiyo pesa yako kulipia mahari na kupanga chumba na fenicha.
Baada ya hapo mambo mengine hataenda vizuri sana,mara nyingi nyege husumbua sana akili na kupelekea watu kufanya matendo ya ajabu sana lakini ww utakiwa salama kwa kuwa tayari utakuwa na uhakika wa kumwaga sperm zako kiulaini.
Nimekushauri kama kaka yako wa kwanza.
Nashukuru kwa ushauri na busara zako, naamini kila mtu anaweza kuchangia mawazo fulani bila kujali hali yake ya kiuchumibora wewe unaunafuu kuliko hata na sisi unaotaka tukushauri, watu kusave tu pesa changamoto ila wewe umeweza. uko vizuri jiamini achana na maushauri utapotea hata huu wangu upotezee, halafu hakuna mshahara usiitosha.
Hahaaa sio kweli, deni la taifa ni pesa nyingi sanaMzee wangu tukikukabidhi Nchi, Deni la taifa litafutika ndani ya mwaka mmoja wa Serikali
Huyu jamaa atakuwa hagegedi mbususu kabisaDuu we kweli ni mwamba wa miamba,yaani 170k na umesave 1.3m,kabila gani kwani wewe mkuu unifundishe saving