Uhauri: Nalipwa 170k kwa mwezi, how can I survive?

Kweli kabisa, nashukuru sana
 
Alaf watu mbona mnapenda sana kujiendekeza, unakaa kabisa kwenye kazi ya mtu alaf akulipe 170k? Hivi ukiamua kufanya mishe zako mwenyewe unashindwaje kuingiza kiasi hicho na zaidi?



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo mkuu kwa mwezi unatumia 30k tu 140k zote unasevu!?? Tuanzie hapo...
 
Ualimu ni Kazi ya kimaskini Sana. Nakumbuka miaka ya nyuma nilishawahi kufundisha zaidi ya miaka mitatu lakini nilitoka patupu. Ni AIBU.
Ila nakushauri usiache Kazi. Sikuhizi Biashara zenyewe hazieleweki kufilisika imekuwa kama wimbo vile.

Ila Karibu kwenye fani zetu za Ufundi uwezi kukosa kitu.
Mimi hapa Fundi Bomba
Fundi Kupaua
Fundi Umeme
Fundi simu na computer
Jifunze hapo hata kimoja hutolala njaa.
 
Reactions: Cyb
nipo apa mze wa blandaling
 
Mpaka hapo mbona Kama huna haha ya ushauri ndugu maana unaonekana umejipanga, una malengo na mikakati

Kikubwa endelea na kazi yako kwakua bado upo nyumbani na usishawishike kwenda kupanga !

Endelea ku save huku ukiwaza namna ya kuwekeza pesa zako.
 
Uko lindi tafuta shamba lima upupu
 
Mkuu nikupongeze ww ni winner kusave kuasi hicho kwa mshahara huo your such a champion. Nikushauri endelea na huo huo ufugaji.
Ongeza mtaji, panua banda na uongeze kuku wa mayai au hata nyama fanya lolote kukuza hiyo shuhuli maana unauzoefu nayo anza kuinvest laki 5 kwanza huku ukiendelea kusave. Kipato chako kwenye kuku kinavyokwa ndo unavyozidi kuongeza mtaji zaidi

Trust me hiyo shuhuli ukifanya serious na kwa ueledi itakufikisha mbaliii. Usiruke kuanzisha kitu kingine au kufanya biashara nyingine ambayo hujawahi ifanya, by the time uanze kujifunza kuhusu changamoto ya biashara mpya hicho kimtaji kitakua kimeshapuputika
 
Nakushauri tafuta binti uoe tumia hiyo pesa yako kulipia mahari na kupanga chumba na fenicha.
Baada ya hapo mambo mengine hataenda vizuri sana,mara nyingi nyege husumbua sana akili na kupelekea watu kufanya matendo ya ajabu sana lakini ww utakiwa salama kwa kuwa tayari utakuwa na uhakika wa kumwaga sperm zako kiulaini.
Nimekushauri kama kaka yako wa kwanza.
 
mkuu mimi nakushauri hiyo 1.3 inatosha kufunguwa duka la dawa kama upo kijijini au town gharama zinatofautiana katika uandaji wa ofisi kati ya mjini na kijijni ,kwa town 800 inatosha kuanzia kuandaa ofsi hadi kusajiri iliyobaki mzigo,ila kijijini 500 inatosha kuandaa hadi kusajiri iliyobaki mzigo kwa maelezo mengine kuhusu kusajiri muhudum wa duka na uendeshaji kama itakupendeza basi tuulizane
 
mi naona kuna mahali unatuokota, huitaji ushauri ila kuna jambo unajaribu kushauri watu.
 
bora wewe unaunafuu kuliko hata na sisi unaotaka tukushauri, watu kusave tu pesa changamoto ila wewe umeweza. uko vizuri jiamini achana na maushauri utapotea hata huu wangu upotezee, halafu hakuna mshahara unaotosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…