Uhauri: Nalipwa 170k kwa mwezi, how can I survive?

Hama hapo nyumbani, unakula na kulala bure kisha unajisifu unasave. Ningekuwa mm baba yko ningekutoa hapo nyumbani ukapambane
 
Nashukuru mkuu
 
Mpaka hapo mbona Kama huna haha ya ushauri ndugu maana unaonekana umejipanga, una malengo na mikakati

Kikubwa endelea na kazi yako kwakua bado upo nyumbani na usishawishike kwenda kupanga !

Endelea ku save huku ukiwaza namna ya kuwekeza pesa zako.
Nashukuru kwa ushauri,
 
Nashukuru kwa ushauri, ili naliona rahisi kulifanyia kazi, Asante sana
 
Nipo town, ila sina kabisa experience na iyo biashara, nafikiri watu waliosemea pharmacy au MD ndio wanaweza fanya kwa ufanisi iyo biashara
 
Kuoa natamani ila si unajua mahitaji ya mwanamke na familia, nimepanga niwekeze kwanza alafu ndio nivute jiko
 
bora wewe unaunafuu kuliko hata na sisi unaotaka tukushauri, watu kusave tu pesa changamoto ila wewe umeweza. uko vizuri jiamini achana na maushauri utapotea hata huu wangu upotezee, halafu hakuna mshahara usiitosha.
Nashukuru kwa ushauri na busara zako, naamini kila mtu anaweza kuchangia mawazo fulani bila kujali hali yake ya kiuchumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…