Uhayawani wa binadamu: haya mauaji ni wivu, visasi au malipizi? Je, inaweza kuwa ushirikina?

Mkuu wewe ni detective? Kama sio, naona hii kazi inakufaa sana na ungekuwa hatari sana.
 
N ikasikika sauti ya mwanamke mmoja kwa ujasiri ikisema KIFO NI KIFO.

Namwelewa sana Mfamle Solomoni alipoomba hekima kabla ya chochote, pale alipopewa urithi wa kuwa mtawala baada ya Baba yake.

Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.

(Anayehitaji hekima na kama anahisi imepunguka hana budu kuiomba kwa bidii)
 
Je inaweza kuwa ni Karma pia? Tupe wasifu wa familia yake.

Mambo mengi yako kiroho sana
 
we nae vipi? sasa hapo selikali inahusikaje .
 
Ni drama tuhizo
 
Kwa kuongezea, wakague mawasiliano na akaunti za benki .

Wahoji majirani pia.

Hili suala binafsi likipata wafuatiliaji wazuri hao waliotenda uhalifu watabainika...
 
Huyu mtoto mdogo kosa lake ni lipi?..

Kama na mtoto kahusishwa pia na huyo HOUSE GIRL, hii ni ishu ya Kifamilia zaidi...
Hapo ni mambo ya kifamilia.. Housegi
Picha ya mfanyakazi haipo!, Wao hawajafiwa??



Spiritually, Kuna la kusemwa ??
Haikupatikana na ameshazikwa kijijini kwao.. Hizi ni negative feedback.. Serikali inaposhiriki kudhulumu uhai wa watu wake.. Kuna maroho nayo hujiinua
 
Kwahiyo ukibambikiwa mtoto ndio uue?
 
Huyu mtoto mdogo kosa lake ni lipi?..

Kama na mtoto kahusishwa pia na huyo HOUSE GIRL, hii ni ishu ya Kifamilia zaidi...
Hapo ni mambo ya kifamilia.. Housegi
Picha ya mfanyakazi haipo!, Wao hawajafiwa??



Spiritually, Kuna la kusemwa ??
Haikupatikana na ameshazikwa kijijini kwao.. Hizi ni negative feedback.. Serikali inaposhiriki kudhulumu uhai wa watu wake.. Kuna maroho nayo hujiinua
Je inaweza kuwa ni Karma pia? Tupe wasifu wa familia yake.

Mambo mengi yako kiroho sana
Haya mauaji yamebeba siri kubwa kimwili na kiroho Pia.. Mamlaka zinapotuhumiwa kwa mambo kama haya kuna maroho ya kuzimu hujiinua na kutenda kama mamlaka
 

Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.
 
kumuua housegirl inawezekana ikawa ni diversion. kwamba wauaji wanajaribu kuwahadaa wapelelezi ionekane ishu ya kifamilia.
 
First suspect hapo ni mzazi mwenzie, kuna watu wanaweza kuua mama na maana, kisa amegundua alibambikiwa mtoto, na siku zote kumbe analea mtoto wa dume jingine,
Enzi hizo bado nipo shababy, nikapendwa na single mother, jamaa aliyekuwa anaishi nae(sio baba wa mtoto), akagundua siku akanikuta nae tunapiga story, akanifata, tuongee, akaniambia kama Nina mtaka, nimuhamishe mtaa, maana, anaona aibu mtaa mzima wanajua ye ye ndio mume,
Nikamuambia bro, huyu sister mi ni rafiki tu,
Wiki baada, jamaa akanikuta namshushia mkaa yule sister, alipopanga baada ya kuondoka kwa jamaa, jamaa hakuvumilia, akanifata kwa shari,akaja na panga, kabla hajafanya kitu, nikampa ndoo(kichwa) moja, chini, watu wakaamulia, uzuri majirani walikuwa wanajua jinsi alivyokuwa ana mnyanyasa yule sister, wakawa upande wangu, jamaa akaondoka zake, damu zinavuja!
Kuna wanaume wana wivu balaa, kuua kwao kwa ajiri ya utamu tu, ni sawa na kunywa Coca zero.
 
Waswahili huwa mpo hivi.

Kwanini uanzishe Urafiki na mwanamke wa mtu?
 
CHA KWANZA,-MUUAJI/WAUWAJI WANAJULIKANA KWA VICTIMS
CHA PILI- HIKI NI KISASI
MLIPA KISASI NDIYE MKONO WAKE UMETUMIKA KUUA
KWA HIYO UCHUNGUZI UFUATILIE MAISHA YA MAREHEMU/MAHUSIANO/KAZI/BIASHARA WATAJUA ALIYEFANYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…