Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu wewe ni detective? Kama sio, naona hii kazi inakufaa sana na ungekuwa hatari sana.Kabla ya maiti za huyo mama na mwanae hazijazikwa, ni vyema Sana Jeshi la Polisi wakatoa AMRI kwa Mkemia Mkuu wa Serikali kwenda kuchukua sampuli za vinasaba vya kupima DNA kutoka kwa hizi maiti Mbili. Maiti zisizikwe kabla ya kuchukuliwa kwa sampuli za kupima DNA, sambamba na kuchukua sampuli za vinasaba vya DNA kutoka kwa huyo Mwanaume ambaye anahusika na ubaba (partenity) wa huyo mtoto aliyeuawa pamoja na mama yake.
Hili ni suala muhimu sana la kuzingatiwa ili kuondoa mashaka yote kwamba vifo vya Watu hawa vimetokana na Mgogoro wa masuala ya Partenity Fraud, pia itasaidia kumfanya huyo mwanaume aishi maisha yake kwa Uhuru baada ya msiba huu kupita.
Je inaweza kuwa ni Karma pia? Tupe wasifu wa familia yake.Huyu ndiye Dada Jonais (Mzaliwa wa Mwika Kilimanjaro) aliyekutwa ameuwawa msituni huko Korogwe, na pembeni ni mtoto wake ambaye pia alichomwa moto kwenye tukio hilo hilo. Kwenye kadhia hiyo pia binti wake wa kazi nae aliuwawa, naarifiwa anazikwa Tanga leo pia. Huku Kilimanjaro pia walikuwa na msiba wa baba yao mdogo alikuwa azikwe jana ila baada ya taarifa za kifo cha huyo dada wamesitisha zoezi hili. Tetesi zinasema (Huenda walichukuliwa kinguvu nyumbani kwao na kupelekwa kwenye msitu na kufanyiwa unyama huo) Kiufupi maumivu ya familia hii hayaelezeki. Mungu awatie nguvuView attachment 3109958View attachment 3109959
we nae vipi? sasa hapo selikali inahusikaje .😓😭inaumiza kuamini wasioaminika...I wish kama tungepata ujasiri kama wananchi tukafanya mapinduzi ya kweli...so sad to see these young souls perishing in vain and no backups or non tó fight to their back for their innocence...Yani ningeitukana serikali kuwa ni ya "kijinga na kipumbavu" lakin nnni huo uwezo Sina, binafsi Sina Imani na serikali yangu.
Ni drama tuhizoN ikasikika sauti ya mwanamke mmoja kwa ujasiri ikisema KIFO NI KIFO.
Namwelewa sana Mfamle Solomoni alipoomba hekima kabla ya chochote, pale alipopewa urithi wa kuwa mtawala baada ya Baba yake.
Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.
(Anayehitaji hekima na kama anahisi imepunguka hana budu kuiomba kwa bidii)
Kwa kuongezea, wakague mawasiliano na akaunti za benki .Okay.
Kuna maswali mengi Sana kuhusu suala hili.
1. Alikuwa anajishughulisha na kazi gani hasa?
2. Aliolewa? 3. Baba wa mtoto wake yuko wapi? 4. Hali yake ya mahusiano yake ipoje?
5. Je, ni kweli kwamba baba wa mtoto wake anayejulikana na jamii ndiye baba mzazi halisi wa mtoto wake aliyekuwa naye? Or there was a problem/conflict of paternity fraud between them???????
Suala hili la Paternity Fraudulent activity linapaswa kuangaziwa kwa kina zaidi kwenye Mikasa ya mauaji kama hii kwa sababu wanawake wengi Sana siku hizi wanapenda kuwabambikizia wanaume watoto wasiokuwa wao kiuhalisia.
Hapo ni mambo ya kifamilia.. HousegiHuyu mtoto mdogo kosa lake ni lipi?..
Kama na mtoto kahusishwa pia na huyo HOUSE GIRL, hii ni ishu ya Kifamilia zaidi...
Haikupatikana na ameshazikwa kijijini kwao.. Hizi ni negative feedback.. Serikali inaposhiriki kudhulumu uhai wa watu wake.. Kuna maroho nayo hujiinuaPicha ya mfanyakazi haipo!, Wao hawajafiwa??
Spiritually, Kuna la kusemwa ??
Kwahiyo ukibambikiwa mtoto ndio uue?Okay.

Haya mauaji yamebeba siri kubwa kimwili na kiroho Pia.. Mamlaka zinapotuhumiwa kwa mambo kama haya kuna maroho ya kuzimu hujiinua na kutenda kama mamlakaJe inaweza kuwa ni Karma pia? Tupe wasifu wa familia yake.
Mambo mengi yako kiroho sana
Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.N ikasikika sauti ya mwanamke mmoja kwa ujasiri ikisema KIFO NI KIFO.
Namwelewa sana Mfamle Solomoni alipoomba hekima kabla ya chochote, pale alipopewa urithi wa kuwa mtawala baada ya Baba yake.
Lakini mtu wa kwenu akipungukiwa na hekima, na aombe dua kwa Mungu, awapaye wote, kwa ukarimu, wala hakemei; naye atapewa.
(Anayehitaji hekima na kama anahisi imepunguka hana budu kuiomba kwa bidii)
First suspect hapo ni mzazi mwenzie, kuna watu wanaweza kuua mama na maana, kisa amegundua alibambikiwa mtoto, na siku zote kumbe analea mtoto wa dume jingine,Huyu ndiye Dada Jonais (Mzaliwa wa Mwika Kilimanjaro) aliyekutwa ameuwawa msituni huko Korogwe, na pembeni ni mtoto wake ambaye pia alichomwa moto kwenye tukio hilo hilo. Kwenye kadhia hiyo pia binti wake wa kazi nae aliuwawa, naarifiwa anazikwa Tanga leo pia. Huku Kilimanjaro pia walikuwa na msiba wa baba yao mdogo alikuwa azikwe jana ila baada ya taarifa za kifo cha huyo dada wamesitisha zoezi hili. Tetesi zinasema (Huenda walichukuliwa kinguvu nyumbani kwao na kupelekwa kwenye msitu na kufanyiwa unyama huo) Kiufupi maumivu ya familia hii hayaelezeki. Mungu awatie nguvuView attachment 3109958View attachment 3109959
Waswahili huwa mpo hivi.First suspect hapo ni mzazi mwenzie, kuna watu wanaweza kuua mama na maana, kisa amegundua alibambikiwa mtoto, na siku zote kumbe analea mtoto wa dume jingine,
Enzi hizo bado nipo shababy, nikapendwa na single mother, jamaa aliyekuwa anaishi nae(sio baba wa mtoto), akagundua siku akanikuta nae tunapiga story, akanifata, tuongee, akaniambia kama Nina mtaka, nimuhamishe mtaa, maana, anaona aibu mtaa mzima wanajua ye ye ndio mume,
Nikamuambia bro, huyu sister mi ni rafiki tu,
Wiki baada, jamaa akanikuta namshushia mkaa yule sister, alipopanga baada ya kuondoka kwa jamaa, jamaa hakuvumilia, akanifata kwa shari,akaja na panga, kabla hajafanya kitu, nikampa ndoo(kichwa) moja, chini, watu wakaamulia, uzuri majirani walikuwa wanajua jinsi alivyokuwa ana mnyanyasa yule sister, wakawa upande wangu, jamaa akaondoka zake, damu zinavuja!
Kuna wanaume wana wivu balaa, kuua kwao kwa ajiri ya utamu tu, ni sawa na kunywa Coca zero.
CHA KWANZA,-MUUAJI/WAUWAJI WANAJULIKANA KWA VICTIMSOkay.
Kuna maswali mengi Sana kuhusu suala hili.
1. Alikuwa anajishughulisha na kazi gani hasa?
2. Aliolewa? 3. Baba wa mtoto wake yuko wapi? 4. Hali yake ya mahusiano yake ipoje?
5. Je, ni kweli kwamba baba wa mtoto wake anayejulikana na jamii ndiye baba mzazi halisi wa mtoto wake aliyekuwa naye? Or there was a problem/conflict of paternity fraud between them???????
Suala hili la Paternity Fraudulent activity linapaswa kuangaziwa kwa kina zaidi kwenye Mikasa ya mauaji kama hii kwa sababu wanawake wengi Sana siku hizi wanapenda kuwabambikizia wanaume watoto wasiokuwa wao kiuhalisia.
Kwa kuongezea, wakague mawasiliano na akaunti za benki .
Wahoji majirani pia.
Hili suala binafsi likipata wafuatiliaji wazuri hao waliotenda uhalifu watabainika...