UHISPANIA: Luis Enrique apewa kibarua cha kuinoa timu ya taifa ya mpira wa miguu ya nchi hiyo

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411



Aliyekuwa kocha wa Klabu ya Barcelona, Luis Enrique apewa kazi ya kuinoa timu ya taifa ya Uhispania

Enrique anachukua mikoba ya Fernando Hierro aliyebwaga manyanga baada ya taifa hilo kuboronga katika michuano ya kombe la dunia inayoendelea kwa hatua ya Nusu Fainali huko Urusi

Ikumbukwe kuwa Hierro alifukuzwa kazi ya kuinoa timu hiyo siku 2 kabla ya Kombe la Dunia kuanzia baada ya kukubali kuifundisha Klabu ya Real Madrid


======

Former Barcelona boss Luis Enrique named as Spain's new manager.

The former world champions are seeking a replacement for Fernando Hierro who stepped down following his country's disastrous showing at the World Cup.

Hierro took over two days before Spain's opening game after Julen Lopetegui was sacked for agreeing to take over at Real Madrid after the tournament.
 
Kama ulifanya tafsiri basi rudia tena, kuna vitu umeruka, umesahau au umekosea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…