Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,621
- 8,411
Aliyekuwa kocha wa Klabu ya Barcelona, Luis Enrique apewa kazi ya kuinoa timu ya taifa ya Uhispania
Enrique anachukua mikoba ya Fernando Hierro aliyebwaga manyanga baada ya taifa hilo kuboronga katika michuano ya kombe la dunia inayoendelea kwa hatua ya Nusu Fainali huko Urusi
Ikumbukwe kuwa Hierro alifukuzwa kazi ya kuinoa timu hiyo siku 2 kabla ya Kombe la Dunia kuanzia baada ya kukubali kuifundisha Klabu ya Real Madrid
======
Former Barcelona boss Luis Enrique named as Spain's new manager.
The former world champions are seeking a replacement for Fernando Hierro who stepped down following his country's disastrous showing at the World Cup.
Hierro took over two days before Spain's opening game after Julen Lopetegui was sacked for agreeing to take over at Real Madrid after the tournament.