UHITAJI WA FUNDI WA COMPUTER DODOMA MJINI

Blessed Keinerugaba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
4,754
Reaction score
4,746
Ninawasalimka ndugu wajumbe.
Ninatafuta mtaalamu wa Kompyuta kwa Dodoma. Komyuta yangu imekuwa na changamoto inapowashwa hai-display chochote. Kama yuko fundi humu kwa upande wa Dodoma tunaweza kuwasiliana PM, ikiwa kuna mtu anamfahamu fundi mikini nitashukuru kupata mwongozo tafadhali!
 
Hebu mtafute huyo naamini atatua hilo 0622-075074 anaitwa francis
 
Back
Top Bottom