Uhitaji wa mwenza mwanaume

Uhitaji wa mwenza mwanaume

ila mimi sijaona sababu ya kutoa kauli
zisizo na maana kama unaona kwako hana a vigezo kausha... mi mbona nimempenda
hivyo hivyo hata kama alishakitembeza..!!!!
 
Nani aliyefanikiwa kumpata huyu bint.. Aje inbox tuzungumze jambo.. Maana kuna jambo muhimu sana kujua abt it..
 
Dah...sifa za mwanaume ni mbili....awe na Pesa pamoja na misuli inayokaza...baaasi[emoji87]
 
Back
Top Bottom