Uhitaji wa soko la mahindi na maharage Morogoro

Uhitaji wa soko la mahindi na maharage Morogoro

GITWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
1,572
Reaction score
1,781
Poleni na majukumu ya kila siku wakuu.

Shida yangu ni kujua wapi wananunua mahindi na maharage kwa wingi mkoani Morogoro.

Natanguliza shukrani kwa mtoa taarifa.
 
Gairo kwa maharagr na kibaigwa kwa mahindi..mchele ifakara na dumila pande hizo!
 
Poleni na majukumu ya kila siku wakuu.

Shida yangu ni kujua wapi wananunua mahindi na maharage kwa wingi mkoani Morogoro.

Natanguliza shukrani kwa mtoa taarifa.
Debe unauzaje broo! Nipe bei tufanye biashara au nicheki 0712555352
 
Back
Top Bottom