Uhujumu NSSF

Umegusa kisawasawa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee we chalii ticha ako alikua na kazi kinyama, mtoa nyuzi katimba humu tarehe 27 January ili adondoshe Personal attack yake yakikuda. Alaf unahoji aliejiubga tarehe 8 January.. unaakili ww [emoji16][emoji16]... sijui hata kwanini JF hawachuji hawa low minded people humu. Ni zero kinyama sisashangai hata unasapoti alieandika Thread hii. Both are rubbish tu.
Mwingine wa 8/1/2020 kaja kwa lengo la kumtetea, nadhani wengi ndo wale wanaosemwa wanapewa upendeleo

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupa kongole na nakuunga mkono, kiukweli kuna ka utofauti ukilinganisha na miaka mi 3 nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua Hii kasi ya sasa hivi inaonyesha kabisa watu waliozoea dezo pale mjengon NSSF inawapa watu mchecheto ndo yanazaliwa mambo kama haya... Maana hizi zinaonekana kama ni kelele za watu wachache wa Makao makuu tu... maana mkoan watu wapo busy na kutoa huduma fresh kabisa.. anyway ulaji dezo ukikata kelee hufunguka.. sema jamaa kama anakaza aendelee tu ili shirika lizidii kung'aa.. sisi wananchi tunataka matokeo kama tunayoyaona .. sio humo ndani mjomba ake nanj au nani kabanwa kufanya uhujumu wake. Mwachen Erio apige kazi kama PFF.. yani jamaa nachompendea ni Low Key Goal Getter... matokeo yanaongea zaidi
Huyo kiongozi wenu yuko vizuri, hatukuwahi kusikia kelele wakati yuko PPF, tatizo mlizoeshwa vibaya huko NSSF sasa hamtaki kubadilika, pambaneni na hali zenu. Muheshimiwa Raisi, achana na hawa maboya, jenga taifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mtoa post inaonekana nawe ni wale wale ambao mirija ya ulaji imefungiwa sasa muna mu attack Erio. Mulizoea dezo dezo tu kufanya Shirika kama shamba la bibi munakula pesa za wanachama bila huruma shirika linatafunwa kila upande na wafanyakazi wasio waaminifu sasa Erio amekuja ameziba mirija yenu yote ndio mnamu attack poleni sana Hapa ni Kazi tu kashasema Baba vipi sauti inatosha huko nyuma
 
Wachangiaji wote wanaomtetea erio walijiunga JF January 8th, 2020 daaah Erio ana akili fupi sana kama kuku
 
Sasa wewe ndo unaemtetea mwizi, erio na wenzake fuatilia historia zao ppf, record zinaonyesha wazi ni wapigaji ndo maana mwenzetu huko nyuma ameeleza jinsi walivyokua wanajilipa mamilioni kila baada ya miaka miwili, hadi mhasibu mkuu akafukuzwa baada ya kutaka kuzuia, pia ukisoma post za nyuma utaona kuwa wamejilipa immediately walivyojua wanakuja nssf na pia walipoingia nssf wakajilipa allowance ya furniture mamilion fasta fasta ila wakazuia mikopo ya furniture kwa staff angali wao walishajilipa kifisadi.
Usitetee ujinga tu soma watu wanacho complain uelewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninyi nyote ni kina Erio
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unaonekana ni staff uliebanwa mteremko wako.. sikushangai, Wizi haulipi ndugu yangu .. acha jamaa achape kazi.. mwache aendeleeeee kuwanyoosha vizuri kwa maslahi ya umma, wananchi hatutak watu design yako kwa sasa wanaojiangalia wao wenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini usijikite kwenye hoja husika ukaijibu moja baada ya ingine kuliko hili jibu la jumla?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…