Uhuni katika mahusiano

Naweza tu, huyu naye atakuja kuwa baba wa familia na kufanya maamuzi yatakayomua hatma zao.
inasikitisha sana
Wewe ni dhaifu sana
 
Na akikupa anakupangia pa kumwagia?
 
Ulimkomesha aisee😁
 
Mkuu vip si kasema anakuja kulala kwako sasa una feli wapi mwambie aje Asubuhi unampa nauli tu ndiyo inakua mwisho na mwanzo wa kumtafuta
Na kashafika mkuu
 
Idadi ya wanaume inapungua kwa Kasi sana, yaani mwanamke anakupangia penzi na ww unakubali isitoshe unamgharamia uyo ni mkeo wa ndoa au acha kujibebesha limzigo aisee
 
Na kashafika mkuu
Aisee,
Itandike hiyo mbususu kana kwamba hutawahi kut#mb.a tena, halafu kesho akiondoka anza rasmi kusaka mbadala wake chap chap.

Ukipata pisi kaa kimya. Siku akikutafuta mwambie tayari unamilikiwa, kama anataka awe mchepuko wa siri sana, tena kwa terms zako
 
Km ni huyo wa hapo TICD achana naye...
 
Piga chini huyo
 
Kama hutaki uhuni muoe akupe kila siku

Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
Yaani mara nne tu kwa mwaka!, aisee embu jadilini upya hili swala kiongozi
 
sasa akitaka aweze kutokumtafuta ni kwamba atafute manzi mwingine ili awe bize naye.
 
Sitisha huduma, mengine yatajisort baada ya kufanya hivyo.

Wanaume tumekuwaje sijui..
 
Sitisha huduma, mengine yatajisort baada ya kufanya hivyo.

Wanaume tumekuwaje sijui..
Ushauri mzuri mkuu ata mimi nilikua nae kama huyu demu wa mshikaji awa mademu wakati mwingine sijui wanakua wamechanganyikiwa na Maisha utasikia wanasema Mimi nataka kuhudumiwa sasa unataka huduma kama Mwanandoa wakati siyo Mke yani Mabinti inabidi waambiwe ukweli kupitia kwa Wazazi wao,Wazazi tunapokaa kimya bila kuwaambia ukweli watoto wetu tutasababisha Masingle mother wengi, Vijana wakiume tumeshtuka tunakupa pesa ukijaa kwenye mfumo ukibeba mimba inakua ya Mwanamke peke yake na tunaikimbia.
 
Sahihi kabisa mkuu, niliwahi kuwa na type hii, anataka huduma za mwezi as If tumeoana, akaweka kiwango chake kabisa, gas, umeme, maji, nauli ya kazini, chakula nk. Akaweka figure yakw hapo. Sikujibu lolote, mimi nikikutana nae nampa haki yake tunaachana, akasisitiza matumizi ya mwezi..nikamwambia siwezi kufanya hivyo, kama vipi nile kona tu!
 
Pumba......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…