Uhuni katika mahusiano

Uhuni katika mahusiano

Naweza tu, huyu naye atakuja kuwa baba wa familia na kufanya maamuzi yatakayomua hatma zao.
inasikitisha sana
Wewe ni dhaifu sana
 
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Na akikupa anakupangia pa kumwagia?
 
Kweli ata mimi nilikua nae kama huyo yeye alikua anataka nimsaidie yeye tu ila kunisaidia mimi hataki na uwezo huo anao nikaona nimteme. Yani ukimuomba sexy anakua mgumu kutoa, Sasa kuna siku katuma sms ya kuniomba pesa nika mjibu pesa zangu zina mambo mengi ya kufanya tokea siku hiyo sikumtafuta wala na yeye haja nitafuta.
Ulimkomesha aisee😁
 
Idadi ya wanaume inapungua kwa Kasi sana, yaani mwanamke anakupangia penzi na ww unakubali isitoshe unamgharamia uyo ni mkeo wa ndoa au acha kujibebesha limzigo aisee
 
images (3).jpeg
 
Na kashafika mkuu
Aisee,
Itandike hiyo mbususu kana kwamba hutawahi kut#mb.a tena, halafu kesho akiondoka anza rasmi kusaka mbadala wake chap chap.

Ukipata pisi kaa kimya. Siku akikutafuta mwambie tayari unamilikiwa, kama anataka awe mchepuko wa siri sana, tena kwa terms zako
 
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Km ni huyo wa hapo TICD achana naye...
 
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Piga chini huyo
 
Kama hutaki uhuni muoe akupe kila siku

Huyo dada namjua,ni katibu mkuu wa vikao vyetu vya kila mwaka
Nafikiri kikao kijacho agenda kuu itakuwa ni hii...kutoa mchezo kila baada ya miezi mitatu
Yaani mara nne tu kwa mwaka!, aisee embu jadilini upya hili swala kiongozi
 
Dogo acha kujifariji,kumuacha huwezi,wewe ni dhaifu sana kwake,
Kama ungekua na nia ya kumuacha wala usingeona umuhimu wa kuanzisha huu uzi,

Usipojikaza utateseka sana kisha huyo Mwanamke atakuja kukuacha halafu utajutia muda wako na rasilimali zako ulizozipoteza,

Kata huduma zote kwa hiyo Mbuzi,usimtafute wala usionyeshe kumjali,usijifanye kusikitika juu yake,namaanisha usionyeshe unyonge,piga kimya,baada ya muda mfupi,yeye ndio ataanza kukubembeleza wewe,hapo ndipo unaichakata kisha unaachana nae mazima.
sasa akitaka aweze kutokumtafuta ni kwamba atafute manzi mwingine ili awe bize naye.
 
Sitisha huduma, mengine yatajisort baada ya kufanya hivyo.

Wanaume tumekuwaje sijui..
 
Ushauri mzuri mkuu ata mimi nilikua nae kama huyu demu wa mshikaji awa mademu wakati mwingine sijui wanakua wamechanganyikiwa na Maisha utasikia wanasema Mimi nataka kuhudumiwa sasa unataka huduma kama Mwanandoa wakati siyo Mke yani Mabinti inabidi waambiwe ukweli kupitia kwa Wazazi wao,Wazazi tunapokaa kimya bila kuwaambia ukweli watoto wetu tutasababisha Masingle mother wengi, Vijana wakiume tumeshtuka tunakupa pesa ukijaa kwenye mfumo ukibeba mimba inakua ya Mwanamke peke yake na tunaikimbia.
 
Sahihi kabisa mkuu, niliwahi kuwa na type hii, anataka huduma za mwezi as If tumeoana, akaweka kiwango chake kabisa, gas, umeme, maji, nauli ya kazini, chakula nk. Akaweka figure yakw hapo. Sikujibu lolote, mimi nikikutana nae nampa haki yake tunaachana, akasisitiza matumizi ya mwezi..nikamwambia siwezi kufanya hivyo, kama vipi nile kona tu!
 
Wakuu hivi ni sahihi kwa mwanamke ambae ni mpenzi wako unamjali na kumuhudumia kila ila yeye sex anakupangia anasema et inazeesha.

Na kasema atakuwa ananipa tendo kila baada ya miezi 3 au miwili. Mimi nikamuomba walau mara 1 kwa wiki akagoma kabisa

Hivi mtu kama huyu kuna haja gani ya kuendelea nae huu c uhuni kabisa.
Pumba......
 
Back
Top Bottom