Uhuni katika mahusiano

Nj mjita?
??
 
Tatizo lipo kwako broo.. mwanaume sio kuwa na kikojoleo tu, hebu kuwa na tabia za kiume mbele ya mwanamke. Binafsi ninachokiona ni kuwa jina tabia za kiume mbele ya mwanamke, wewe ni dhaifu sana na mapenzi yatakutesa sana.
Unamuhudumia mwanamke halafu sex unapangiwa bro!!
 
Wewe ni mjinga kama hatoi mzigo unahangaika nae wa nn
 
Duh! Aisee 🤔
 
Kama ungekua mwanangu wa kiume ningekukata shingo, mwanamke kadri unavombembeleza na kumfuata ndivo anavozidi kukusumbua , achana nae tafuta mwingine huyo ana wake anaemuelewa na kumpa kila akitaka ,
 
Na wewe cha kufanya, piga pini huduma zote kimya kimya. Wala usimlazimishe kukupa.
Akileta huduma lipia afu pita hivi.
Akiweka kigingi, weka chuma.
Akiweka ugoko, weka jiwe.
Tit for tat....
 
Na wewe mueleze kuwa utamuhudumia kila Baada ya hiyo miezi mitatu
 
Huyo manzi ndio anayeonekana 'alpha' wa hayo mahusiano.

Mwanzoni inaonekana ulifeli kuweka standard zako may be ukihofia atakuja kukuacha na hapo ndipo ulipoteza kama mwanaume..

Demu anakuona wewe ni kumer oriented that's way anakuendesha atakavo. ..

Acha na huyo manzi mwanangu..Tafuta pesa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…