GE2025 Uhuni unaofanywa kwenye kuandikisha watu kwenye madaftari ya wapiga kura

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uko sahihi mm pia hili nimelishuhudia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa
 
Uko sahihi mm pia hili nimelishuhudia kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa
Walichukua majina toka kwenye orodha ya wakulima na kuyaingiza kuwa wananchi waliojiandikisha kupiga kura. Kisha wao wenyewe wakapiga kura wakisema wameshinda kwa asilimia 99.

MaPuuzi sana haya MaCCM.
 
Walichukua majina toka kwenye orodha ya wakulima na kuyaingiza kuwa wananchi waliojiandikisha kupiga kura. Kisha wao wenyewe wakapiga kura wakisema wameshinda kwa asilimia 99.

MaPuuzi sana haya MaCCM.
Aiseeeee
 
Mafisi ya kijani hayashindwi kitu. Moderator naomba usiufute huu uzi na pia naomba muuweke Prefix ya uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…