Uhuni, usela na starehe nilizo wahi fanya kwenye maisha yangu

bro alex

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
1,889
Reaction score
2,294
MWAKA Fulani NIKIWA musoma mjini masomoni, NILIKUA ni MTU WA starehe sana japo sikua na HELA. Yes nilipenda starehe lakini PESA kipengele. SIKU KUBALI kushindwa kula Bata JAPO SINA PESA ILI bidi nibuni njia mbadala ILI NAMI nijichanganye na ma tycoon KWENYE Bata zao.

Kutokana na harakati ZANGU washkaji wakani bless nakuni visha taji la raisi WA wahuni. Yes sikuwa fala hata kidogo, JAPO nilikuwa na lafudhi ya kisukuma ila nilijitahidi kuongea kimarekani, kuficha madhaifu YANGU AMBAYO nilihisi yatanikosesha michongo kutoka kwa WATU walio amini mi ni born town nakunitumia kwenye harakati zao.

Huwa napenda sana maisha ya night club kila weekends hadi Leo, starehe AMBAYO sipatani nayo ni ngono TU. Yes kula mbususu hovyo hapo si pangu huwa nakula demu wangu TU na si vinginevyo. NAPENDA KWENDA disco kucheki mechi huko za usiku KUCHEZA mziki mana nakipaji cha dancer, KILA weekend hunikosi japo kipindi kile hadi katikati ya wiki nilikuwa muudhuriaji mzuri hadi kukaririwa na mabaunsa wa klabu nilizoingia.Hapo musoma mjini kipindi hicho KLABU mbili tu ndo zilikua zinakimbizana hapo town modem na metro. Metro ndo ilikua baba lao, modem alipambana kuipiku metro ila alikua anachezea za uso. Wanafunzi WA songe, SIJUI musoma tech, chifu ihuno weekends na mara sec NDO walikua wakizipamba marachache kwa events zao walizo andaa.

Modem kulikua na ofa ya kuingia bure ukiwahi kuingia mapema, unazama bure ukichelewa unatoka EF Tano inategemea na SIKU. SEMA mle ndani lazima UWE na kinywaji baunsa akikushika huna kinywaji na UMEINGIA bure unasukumwa NJE MAZEE, Na makofi ya hapa na pale. SA hiyo aibu watu wanakucheki sio poa. Baada ya kuona nasumbuliwa na mabaunsa kuhusu kinywaji nikabuni njia moja nilichukua chupa safi ya maji makubwa nikaosha nikawa najaza maji ya Bomba nasepa nayo klabu. Baunsa akianza operation ya kuwasaka wasio na kinywaji akifika kwangu anaona maji makubwa alafu sichek nmeweka sura mbuzi anasepa. Baadae nikashitukiwa kabla mambo hayaja haribika nikawawahi nika tafuta chupa ya red bull tupu nikawa naweka maji nasepa nayo ndani KWENDA kula kiwanja na washkaji JAPO WAO walikua vizuri.

SIKU moja nmeweka mezani kama kawaida nikazama dance floor KWENDA kukamatana na watoto wazuri, kumbe baunsa naye huwa anatabia za kuiba vinywaji VYA wateja waliopewa, Alipo nicheki Niko bize kudance akakipitia kinywaji akasepa nacho, kumbe washkaji
wanamcheki TU. Muda SI mrefu baunsa akarudi kakunja sura akanisakua KWENYE dance floor akanitoa nje, Huku ana lalama na wenzake wakimcheka nikiwaangalia washkaji zangu hawana mbavu.

Itaendelea...

Kwishaaaa
 
Nimejaribu tu kuwaza kwa sauti vile msukuma mwenye lafudhi ya kukandamiza, kisha akajifanya anaongea kimarekani ( japo sijui ndiyo lugha gani hiyo) na anajua kucheza ngoma za kisasa.
Sipati picha vile hicho kiumbe kinakuwa kinafanania
 
Ila mikoani kuwa watu wanajifanyaga wasteland inabidi ucheke tu
 
Afu hapendi mbususu...
Yeah mkuu mi na mbususu huwa hazipandi kivile inshort NIKIWA KWENYE couple huwa sishobokei mademu hata Beyonce, Shakira, weka na Rihanna hapo sishobokei kabisa.

Kwishaaaaa
 
Miji midogo ukiwa na issue kama izo unakiwa maarufu kwa muda mfupi
Mkuu musoma ya kipindi hicho ni kweli mji ulikuwa mdogo ila matukio ya wababe ni balaa MTU anafunga MTAA mchana HAMNA MTU kupitia. Kama una taka mshale pita mzee, WATU walikua hawana masihara ila hichi kichwa kiliwatuliza mzee

Kwishaaaa
 
Nimejaribu tu kuwaza kwa sauti vile msukuma mwenye lafudhi ya kukandamiza, kisha akajifanya anaongea kimarekani ( japo sijui ndiyo lugha gani hiyo) na anajua kucheza ngoma za kisasa.
Sipati picha vile hicho kiumbe kinakuwa kinafanania
hahaaaa mkuu, unajua lafudhi kuizuia ni NGUMU SANA, halafu huwezi amini mi kisukuma sikijui hata kukiongea. sijakulia KWENYE chimbuko LETU MWANZA magu Kijiji cha ng'wabuye NYANGUGE. Sijakulia huko huwa ni salamu TU napaaa

Kwishaaaaa
 
Mkuu musoma ya kipindi hicho ni kweli mji ulikuwa mdogo ila matukio ya wababe ni balaa MTU anafunga MTAA mchana HAMNA MTU kupitia. Kama una taka mshale pita mzee, WATU walikua hawana masihara ila hichi kichwa kiliwatuliza mzee

Kwishaaaa
Hakuna mtu alikua anafunga mtaa Musoma acha uongo

Yani Musoma ufunge Mtaa watu Wasipite? We msukuma acha kamba
 
Sasa NIPIGE kambaa ILI iwe Nini mkuu, usibishe basi KITU usicho kijua. Pale machinjioni kariakoo Kuna mzee alilewa usiku bodaboda wakamsachi, inasemekana aliibiwa PESA na simu SIJUI asubuhi napita pale NAONA WATU wanarudi mkuu nauliza VIPI NAAMBIWA Kuna kazee kameshikilia mshale kamedai mali zake kasipo zipata hakuna MTU kupita. SIJUI hata una bisha Nini?

Huyo ni mwehu mmoja nadhani alidhibitiwa kwa muda mfupi sana,Story Yako ya kujumuisha kua watu wanafunga Barbara kwa tukio la hicho kizee ni kuadaa watu

Mimi ni mzaliwa wa Musoma na Nimekulia musoma haunala kunidanganya hapo Musoma Town
 
Back
Top Bottom