Kuna mshikaji MmOJA mwarabu, ALIKUA ana kaa nyalisulya HUYO DOGO na genge lake walisha vamia pale baruti sec mchana we ni poyoyo mingi TU evidence hutoi ni kupinga tu Bora hata na mpina anapinga kwa fact we SIJUI ni kalevi kapombe za kienyeji? Feel SORY mkuu kama nmekukeraππππππΉπΏπΉπΏSasa NIPIGE kambaa ILI iwe Nini mkuu, usibishe basi KITU usicho kijua. Pale machinjioni kariakoo Kuna mzee alilewa usiku bodaboda wakamsachi, inasemekana aliibiwa PESA na simu SIJUI asubuhi napita pale NAONA WATU wanarudi mkuu nauliza VIPI NAAMBIWA Kuna kazee kameshikilia mshale kamedai mali zake kasipo zipata hakuna MTU kupita. SIJUI hata una bisha Nini?
Kwishaaaa
We JAMAA VIPI KUZALIWA sehemu NDO kujua KILA KITU mkuu? Basi we NAONA unampango binafsi USIJALI hapa takupokea utavo KUJAHuyo ni mwehu mmoja nadhani alidhibitiwa kwa muda mfupi sana,Story Yako ya kujumuisha kua watu wanafunga Barbara kwa tukio la hicho kizee ni kuadaa watu
Mimi ni mzaliwa wa Musoma na Nimekulia musoma haunala kunidanganya hapo Musoma Town
Mkuu musoma nayoizungumzia SIO hii ya SASA ELEWA neno zamani mkuu.Watu wamekushangaa SANA YANI unadai musoma haikua na u babe ILI HALI hata WATU ambao hawaja wahi FIKA, walikuwa wanasikia matukio ya huko.Huyo ni mwehu mmoja nadhani alidhibitiwa kwa muda mfupi sana,Story Yako ya kujumuisha kua watu wanafunga Barbara kwa tukio la hicho kizee ni kuadaa watu
Mimi ni mzaliwa wa Musoma na Nimekulia musoma haunala kunidanganya hapo Musoma Town
Naongezea mkuu KWENYE JAMBO la lafudhi SIO msukuma TU, HAPO musoma Kuna wajita wakiongea unaeza cheka MPAKA basi. Huwa wana vuta neno kwa neno, na ni utambulisho wAO ukimsikia TU anavo ONGEA unajua HUYU WA HUKU kabisahahaaaa mkuu, unajua lafudhi kuizuia ni NGUMU SANA, halafu huwezi amini mi kisukuma sikijui hata kukiongea. sijakulia KWENYE chimbuko LETU MWANZA magu Kijiji cha ng'wabuye NYANGUGE. Sijakulia huko huwa ni salamu TU napaaa
Kwishaaaaa