Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Ipo wazi sera ya Ujamaa aliyoasisi nyerere ndiyo iliyozaa Chama ovu kisichojua misingi ya demokrasia na kilichojaa rushwa, na udikteta wa kiimla, ni wazi nchi zote zilizokulia katika mifumo ya kijamaa Zina mifumo ya kiimla au kidikteta hasa katika ugawaji wa madaraka,
Pamoja na mazuri yake ila Nyerere ni muasisi wa mifumo ovu iliyokita mizizi katika Chama Cha Mapinduzi
Pamoja na mazuri yake ila Nyerere ni muasisi wa mifumo ovu iliyokita mizizi katika Chama Cha Mapinduzi