Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Nacte imewadanganya wanafunzi wanaotegemea kujiunga na elimu ya chuo kikuu
mwanzoni wanafunzi wenye diploma walipoanza kuapply kupitia Nacte walipewa matumaini ya kuchaguliwa lakini baada ya selection ya kwanza kutoka waliochaguliwa walikuwa hawazidi wanafunzi 60 katika vyuo mbalimbali
Round ya pili yalitoka majina 227 lakini eti hakuchaguliwa hata mmoja na wengi ambao hakuchaguliwa ni wale amboa wana diploma ya clinical Medicine. Baada ya hapo ikatoka round ya 3 ambavyo waliotakiwa kuapply ni wale 227 lakini kutokana na USANII WA NACTE hakuna hata jina moja lililochaguliwa. Deadline ya round ya tatu ilikuwa Jana lakini vyanzo vyangu mwenyewe ni kuwa hakuna hata clinical officer hata mmoja aliyechaguliwa. Nacte wanasema eti walipewa nafasi chache kwenye vyuo vya AFYA.
Huu ni UHUNI na USANII WA nacte kwa wanafunzi maana wengi walioapply kwa diploma wengi wao wanasifa Nacte hawezi kusema hakuchaguliwa kwa sababu ya ushindani wakati wao wana nafsi chache za wanafunzi, mfano mpaka sasa Nacte wamechagua wanafunzi 67 kati ya hao 13 ndio clinical officer