UHUNI WA NACTE :YAWATEMA CLINICAL OFFICER Wote 153

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2010
Posts
7,264
Reaction score
678
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Nacte imewadanganya wanafunzi wanaotegemea kujiunga na elimu ya chuo kikuu
mwanzoni wanafunzi wenye diploma walipoanza kuapply kupitia Nacte walipewa matumaini ya kuchaguliwa lakini baada ya selection ya kwanza kutoka waliochaguliwa walikuwa hawazidi wanafunzi 60 katika vyuo mbalimbali

Round ya pili yalitoka majina 227 lakini eti hakuchaguliwa hata mmoja na wengi ambao hakuchaguliwa ni wale amboa wana diploma ya clinical Medicine. Baada ya hapo ikatoka round ya 3 ambavyo waliotakiwa kuapply ni wale 227 lakini kutokana na USANII WA NACTE hakuna hata jina moja lililochaguliwa. Deadline ya round ya tatu ilikuwa Jana lakini vyanzo vyangu mwenyewe ni kuwa hakuna hata clinical officer hata mmoja aliyechaguliwa. Nacte wanasema eti walipewa nafasi chache kwenye vyuo vya AFYA.

Huu ni UHUNI na USANII WA nacte kwa wanafunzi maana wengi walioapply kwa diploma wengi wao wanasifa Nacte hawezi kusema hakuchaguliwa kwa sababu ya ushindani wakati wao wana nafsi chache za wanafunzi, mfano mpaka sasa Nacte wamechagua wanafunzi 67 kati ya hao 13 ndio clinical officer
 
Mpaka sasa wanafunzi wengine 74 wenye diploma tofauti na medicine hawatachaguliwa
 
Km nafasi ni chache, bora wakapewa freshers from school!
 
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Nacte imewadanganya wanafunzi wanaotegemea kujiunga na elimu ya chuo kikuu
mwanzoni wanafunzi wenye diploma walipoanza kuapply kupitia Nacte walipewa matumaini ya kuchaguliwa lakini baada ya selection ya kwanza kutoka waliochaguliwa walikuwa hawazidi wanafunzi 60 katika vyuo mbalimbali

Round ya pili yalitoka majina 227 lakini eti hakuchaguliwa hata mmoja na wengi ambao hakuchaguliwa ni wale amboa wana diploma ya clinical Medicine. Baada ya hapo ikatoka round ya 3 ambavyo waliotakiwa kuapply ni wale 227 lakini kutokana na USANII WA NACTE hakuna hata jina moja lililochaguliwa. Deadline ya round ya tatu ilikuwa Jana lakini vyanzo vyangu mwenyewe ni kuwa hakuna hata clinical officer hata mmoja aliyechaguliwa. Nacte wanasema eti walipewa nafasi chache kwenye vyuo vya AFYA.

Huu ni UHUNI na USANII WA nacte kwa wanafunzi maana wengi walioapply kwa diploma wengi wao wanasifa Nacte hawezi kusema hakuchaguliwa kwa sababu ya ushindani wakati wao wana nafsi chache za wanafunzi, mfano mpaka sasa Nacte wamechagua wanafunzi 67 kati ya hao 13 ndio clinical officer

Chuo kikuu unamaanisha University au College?
Na vyuo unavyomaanisha ni vipi hivyo?
Mkuu Kachanchabuseta tangu lini watu wanao apply University wanapitia NACTE? Au Labda mimi sifahamu sababu nilijoin Univ. kama Direct Entry!
Mbona mimi nina ndugu yangu hapa Kapata Medicine sema anataka kubadilisha?
Tafadhali mkuu tumia lugha nzuri kuwaita Necta wahuni sidhani kama ina swihi sana. Jichunguze, kama sijakuelewa nisamehe.
 
kama hujui wale wanaomba chuo kwa kutumia chet cha diploma lazima waombe kupitia nacte na sio necta kama ulivyoandika wewe,jua nacte na necta ni vitu viwili tofaut
 
Tatizo ambalo NACTE hawakuweka wazi kwamba unaweza kuwa na Diploma in Clinical medicine lakini ukawa hukusoma A level au ulisoma lakini hukufaulu vizuri huwezi kuchukuliwa na university yoyote
 
Nacte ni wahuni,mana kuna ambao walikuwa wamewaonyesha kuwa wamechaguliwa lakini majina yao kwenye vyuo husika ukienda unaambiwa hatuna jina kama hili,si elewi huo mfumo ni wa aina gani?umejaa ubabaishaji? bora hiyo nacte ifutwe na kuwe na admission system moja tu.....
 
nacte walikupa chuo gani.?ulienda wakakuambia akuna jina lako,uka chukua hatua gani??na sasa umefikia wapi?je,umewasiliana na nacte?kama ndio wanasemaje au wanakushauri je??je,loan umepata?samahani kwa maswali mengi nataka nikushauri chakufanya,ila kweli nacte wanakera sana,pole sana kwa usumbufu,
 
aahaaaaaaaa sikakubali iyo,mbona co wengi wamechaguliwa acha kudanganya watu.
 
Back
Top Bottom