Naandika kwa masikitiko makubwa nikiona wanachofanyiwa vijana waliokuja kwenye usahili (written inteview) hapa Galanos Tanga.
1. Identification requirements zimekuwa mentioned katika tangazo la kuitwa kwenye usaili. Walio wengi wamekidhi kuja na vigezo/vitambulisho hivyo. Ajabu wasimamizi wameleta vigezo vingine ambavyo haviko kwenye list.
maana yake nini? Kuwapunguza watahiniwa na kuwapa wengine advantage wengine ya kuambiwa in advance vitu ambavyo haviko kwenye tangazo la serikali!
Vijana wanalia na kusaga meno kwa kukosa interview maana wasimamizi wamekomaa na addition identificationa badges ambazo ni zao wenyewe (own making).
Kuna vijana wamekuja na additional identification badges, wamejuaje kama si kuambiwa in advance?
It is a pity kuwa vijana wametoka mbali sana only to find kuwa eti hawana vigezo! vigezo ambavyo havikuwa kwenye tangazo.