Uhuru aanza kumuiga Magufuli

Nasubiria sherehe, nione kama tutaenda.
Tutaenda. Vicheko tutacheka na mvinyo tutagonga sana tu. Hakuna adui (au rafiki) wa kudumu kwenye hii mambo. Si umeona Zimbabwe?
 


Safi sana Mh. Uhuru.....this is what we need, a president anayefanya kazi kweli si tu kuibia nchi na kuwapa wananchi matatizo zaidi. Big up Mheshimiwa.
 
Naskia JPM ndo alivumbua jinsi ya kutembea kwa miguu. Hapo awali zetu zilikuwa tu mtindo wa nyoka.
Ninampongeza Uhuru Kenyatta katika hili, mtu yeyote mwenye busara hawezi kuona aibu kuiga jambo jema, ninamuomba sana aendelee kuiga yale mema anayofanya Magufuli, hasa kupambana na rushwa na wafanyakazi wazembe, haraka sana aanzishe kampeni ya kuwafichua watumishi hewa na kuziba ukwepaji wa kodi, akimuiga Magufuli, nina uhakika ataisaidia sana Kenya, japo sio rahisi sana kumuiga Magufuli, inabidi uwe na roho ngumu na mbaya sana.
 
Kuwe na negative impact sasa siyo mwisho wa siku linageuka kuwa igizo uchumi unasinyaa.
 
Nani wewe anaesifia uongozi wa sizonje acha uongo wewe,hao anaowanunua ndio wanaemsifia
 
Kwenye hilo kwamba Nchi mbalimbali zinavutiwa na utendaji wa Rais Magufuli ACHA UONGO.
Duniani wapi wanapenda Madikteta..??
 
1academ hiyo picha ya mwisho bana huyo msupa aliamua vipi? Yaani ye haoni huyo ni rais wa jamhuri tukufu ya Kenya? Naona wote wawili wana furaha tele hilo muhimu.
 
I like Uhuru..his favorite food ni Nyama choma na Tusker..safii! sio mshamba wala limbukeni kama fudenge! ana exposure!
 
Siku zote mwizi hujistukia mda wote huhisi afuatwa ili kujisaulisha inabidi afanye chochote ili mladi siku zipite, huyo kaiba kama magu alivyoiba ni lazima watafute mbinu za kuwasaulisha watu, sasa kwa vile mbinu za kuiba zinafanana matokeo yake hata mbinu za kusaulisha watu pia zinafanana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…