Uhuru aanza kumuiga Magufuli

Tutaenda. Vicheko tutacheka na mvinyo tutagonga sana tu. Hakuna adui (au rafiki) wa kudumu kwenye hii mambo. Si umeona Zimbabwe?
Kweli nitaamini hayo maneno yako, kama tutaenda. Maana kama ni kaburi, bado hata udongo haujabadirika rangi
 

Usiseme kutenda hika ni roho mbaya! Ni kiongozi kuwa mtu wa haki na kuchukia ufidasi na rushwa, ufisadi upo mkubwa saana kwenye counties zote ila zaidi zanazoendeshwa na ODM/NASA.
 
Mwizi seeking public sympathy!
Naona hadi sasa hivi bado hujaamini kwamba swahiba yenu Raila hatokuja kalia kiti cha urais. Uhuru ana haja ya kuonewa huruma na nani, wakati tuliompigia kura bado tupo? Bunge, seneti, kwenye County pia anaongoza kwa wingi wa wajumbe. Jubilee tibim, Jubilee tialalaaa!
 
Uhuru yeye ni kuamua tu anainyoosha Nchi faster ni Mtu wa Action hata kama kuna makando kando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…