Uhuru aanza kumuiga Magufuli

Uhuru aanza kumuiga Magufuli

Tutaenda. Vicheko tutacheka na mvinyo tutagonga sana tu. Hakuna adui (au rafiki) wa kudumu kwenye hii mambo. Si umeona Zimbabwe?
Kweli nitaamini hayo maneno yako, kama tutaenda. Maana kama ni kaburi, bado hata udongo haujabadirika rangi
 
Ninampongeza Uhuru Kenyatta katika hili, mtu yeyote mwenye busara hawezi kuona aibu kuiga jambo jema, ninamuomba sana aendelee kuiga yale mema anayofanya Magufuli, hasa kupambana na rushwa na wafanyakazi wazembe, haraka sana aanzishe kampeni ya kuwafichua watumishi hewa na kuziba ukwepaji wa kodi, akimuiga Magufuli, nina uhakika ataisaidia sana Kenya, japo sio rahisi sana kumuiga Magufuli, inabidi uwe na roho ngumu na mbaya sana.

Usiseme kutenda hika ni roho mbaya! Ni kiongozi kuwa mtu wa haki na kuchukia ufidasi na rushwa, ufisadi upo mkubwa saana kwenye counties zote ila zaidi zanazoendeshwa na ODM/NASA.
 
Mwizi seeking public sympathy!
Naona hadi sasa hivi bado hujaamini kwamba swahiba yenu Raila hatokuja kalia kiti cha urais. Uhuru ana haja ya kuonewa huruma na nani, wakati tuliompigia kura bado tupo? Bunge, seneti, kwenye County pia anaongoza kwa wingi wa wajumbe. Jubilee tibim, Jubilee tialalaaa!
 
Uhuru yeye ni kuamua tu anainyoosha Nchi faster ni Mtu wa Action hata kama kuna makando kando
 
Back
Top Bottom