Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

Wakenya bhana hapo utakuta hata mchungaji ana chamoto kumlinda waache sifa za kijinga
 
Unajidanganya. Taasisi ya Urais ina nguvu na mtandao mpana kuliko unavyoelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Najidanganya kwa lipi.I am just reporting what happened.Hakuwa na visible bodyguards na maving'ora na nini na nini.Marais wangapi wana ujasiri wa aliyofanya yeye?We should commend him instead of scoffing him.I know there could be ununiformed security officers around.
 
Kitendo cha hatari sana hiki kwa usalama wake, sio kizuri hasa kwa Mh. Rais..!! No, i don't support this kabisa
Ni kweli,ila it shows how confident he is with the level of security in Kenya.
 
Mleta mada ukijua tofauti kati wa walinzi na ulinzi utaona ulichoandika ni maigizo.
Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza waumini wa kanisa la Holy Basicilla baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.
Uhuru aliendesha gari aina ya Mercedez G-Wagon mwenyewe bila ya kuandamana na mlinzi hata mmoja. Waumini walifurahi walipoona Rais ambaye aliwasalimu baadhi yao mkononi.


Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza baadhi ya waumini wa kanisa la Holy Basilica jijini Nairobi baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.

Uhuru ambaye alionekana kuwa mchangamfu, alifika kanisani humo akiendesha gari aina ya Mercedes G- Wagon.

Waumini wa kanisa hilo walijawa na furaha kulingana na picha kadhaa tulizoweza kuziona hapa TUKO.co.ke.

Hii sasa ni mara ya pili kwa kiongozi huyu wa taifa kuonekana akiwa pekee yake bila walinzi, itakumbukwa kuwa ni hivi majuzi tu ambapo Uhuru alionekana akiendesha gari mwenyewe jijini Nairobi huku msongamano wa magari ukishuhudiwa.

Uhuru amewathibitishia Wakenya kuwa ni mmoja wa marais ulimwenguni mzima ambaye anaweza kukutana na raia wake wakati wowote bila walinzi.

View attachment 1054160
 
Back
Top Bottom