Hapa Tanzania utakuta mtu ni mbowe tu lakini amezungukwa na walinzi kibao!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe huijui Kenya unaongea kimihemeko tuu, maseneta wao wote mpaka magavana wanawalinzi lakini Tanzania wabunge/mawaziri wetu hawana.Hapa Tanzania utakuta mtu ni mbowe tu lakini amezungukwa na walinzi kibao!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikute wiki 1 kabla kuna watu tayari walishafika hapo na bado waposidhani kama alikuwa mwenyewe bila walinzi.! hakuna serikali inaweza kumuacha kiongozi wake kwenye hali kama hizo zaidi ni kwamba walinzi walifiki eneo la tukio kitambo sana
Najidanganya kwa lipi.I am just reporting what happened.Hakuwa na visible bodyguards na maving'ora na nini na nini.Marais wangapi wana ujasiri wa aliyofanya yeye?We should commend him instead of scoffing him.I know there could be ununiformed security officers around.Unajidanganya. Taasisi ya Urais ina nguvu na mtandao mpana kuliko unavyoelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikwenda kusali kama waumini wengine mkuu.Hakupewa nafasi ya kuhutubia? Maana uku kwetu kiongozi akienda kusali na yeye AMA atoe neno au anaombewa kumpunguzia midhambi aliyonayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza waumini wa kanisa la Holy Basicilla baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.
Uhuru aliendesha gari aina ya Mercedez G-Wagon mwenyewe bila ya kuandamana na mlinzi hata mmoja. Waumini walifurahi walipoona Rais ambaye aliwasalimu baadhi yao mkononi.
Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza baadhi ya waumini wa kanisa la Holy Basilica jijini Nairobi baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.
Uhuru ambaye alionekana kuwa mchangamfu, alifika kanisani humo akiendesha gari aina ya Mercedes G- Wagon.
Waumini wa kanisa hilo walijawa na furaha kulingana na picha kadhaa tulizoweza kuziona hapa TUKO.co.ke.
Hii sasa ni mara ya pili kwa kiongozi huyu wa taifa kuonekana akiwa pekee yake bila walinzi, itakumbukwa kuwa ni hivi majuzi tu ambapo Uhuru alionekana akiendesha gari mwenyewe jijini Nairobi huku msongamano wa magari ukishuhudiwa.
Uhuru amewathibitishia Wakenya kuwa ni mmoja wa marais ulimwenguni mzima ambaye anaweza kukutana na raia wake wakati wowote bila walinzi.
View attachment 1054160