Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

Sio kama hana walinzi,walinzi wanakuwa hawako mbali na hapo alipo,ni kitu kinakuwa kimeandaliwa,wasiokuwepo hapo ni bodyguards ambao wanakuwa karibu kila anapokuwa,na ukitaka ku prove kuwa walinzi wapo jaribu kumkata kibao,that is when you can realise you have made a big mistake ever......
 
Kuna vijana humu watakataa mpaka kesho kutwa
 
Mimi sitaki kuamini hata kodogo kuwa yawezekana alikuwa peke yake.
Angejaribu kuguswa ndio mngejua hakuwa peke yake.
Mnataka kutuletea story za bongo za wananchi kuzuia msafara wa Raisi.
Presidential convoy inavyokuwa speed vile ?
 
Usizungukezunguke. Eleza jinsi "Mbowe " anavyotembea na kikosi cha JWTZ, FFU, GD POLICE, mgambo, skauti, helicopters, detectors, mbwa na kundi la wachawi🔙Mbowe huyo😂😂😂😂😂

Namuona sana anapopenda kukaa na wadau wengine.. wengi niwajuao.. kupata kinywaji.. akisimama kuondoka macho yake uwa bwiiiiiii anarembesha tu.. pombe ni balaaa kwake eeeeeeeh
 
Mimi sitaki kuamini hata kodogo kuwa yawezekana alikuwa peke yake.
Angejaribu kuguswa ndio mngejua hakuwa peke yake.
Mnataka kutuletea story za bongo za wananchi kuzuia msafara wa Raisi.
Presidential convoy inavyokuwa speed vile ?

Sasa unabishaaaaa huku hawakumzunguka.. kama walikuwepo hiyo ni hawakujulikana.
 
Siyo mchezo ina maana alikuwa na taarifa za westgate lakini akaacha waendele?
Inawezekana alikuwa na taarifa kwamba watashambulia,ila hakujua target.There are so many targets kwa hiyo sio rahisi kuzi-manage zote.
 
Nakuelewa mkuu,ila hata hili alilolifanya Uhuru hata kama security officers walikuwa at a distance is commendable.
Wangapi wameweza hata hili?Let us praise him instead of scoffing him.But why?
 
Hapo mnapigwa changa la macho, kwa kuwa gari iko tinted, walikwemo kwenye viti vya nyuma. Aidha, hao wote anaosalimiana nao ni watu wa "mfumo". Hiyo issue yotr imepangwa, walinzi walifika hapo kanisanisani tangu jana yake jioni.
Hayo ni mawazo yako.Uliwaona wakiwa huko nyuma kwenye vioo vya tinted?Uhuru sio wa kwanza mkuu,kwa hiyo huna haja ya kujenga mahekalu ya barafu.
 
Hiyo danganya toto tu, no way rais wa nchi anatoka bila ulinzi, hakuna.
 
Hizi public stunt afanyie Turkana basi kama hawajamla live! Naskia those Kenyans overthere r carnibals now!
 
Kuuawa sio kigezo kuwa hakuna ulinzi, maana kuuawa kwa viongozi kama hao huwa ni inside job.

Maana yangu ni kwamba, hakuna mkuu wa nchi atatoka bila ulinzi. (Simaanishi walinzi japo walinzi ni sehemu ya ulinzi)
But how many presidents can do what Uhuru has done,in a self drive and without visible security officers?
 
Mimi sitaki kuamini hata kodogo kuwa yawezekana alikuwa peke yake.
Angejaribu kuguswa ndio mngejua hakuwa peke yake.
Mnataka kutuletea story za bongo za wananchi kuzuia msafara wa Raisi.
Presidential convoy inavyokuwa speed vile ?
Story za bongo.Unamfahamu Raid wa Uruguay aliyetwa Jose Mujica.Alifanya ya ajabu
Lakini hata kuendesha mwenyewe bila ving'ora ni mafanikio mkuu.Hata hivyo
wapo waliofanya zaidi ya Kenyatta,kwa hiyo sio ajabu sana.Rais wa
Uruguay Jose alifanya ya ajabu zaidi ya Uhuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…