Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

Uhuru afika kanisani bila walinzi akiendesha gari aina ya Mercedes G-Wagon.

Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza waumini wa kanisa la Holy Basicilla baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.
Uhuru aliendesha gari aina ya Mercedez G-Wagon mwenyewe bila ya kuandamana na mlinzi hata mmoja. Waumini walifurahi walipoona Rais ambaye aliwasalimu baadhi yao mkononi.

Rais Uhuru Kenyatta aliwashangaza baadhi ya waumini wa kanisa la Holy Basilica jijini Nairobi baada ya kufika kanisani humo akiwa pekee yake bila walinzi.

Uhuru ambaye alionekana kuwa mchangamfu, alifika kanisani humo akiendesha gari aina ya Mercedes G- Wagon.

Waumini wa kanisa hilo walijawa na furaha kulingana na picha kadhaa tulizoweza kuziona hapa TUKO.co.ke.

Hii sasa ni mara ya pili kwa kiongozi huyu wa taifa kuonekana akiwa pekee yake bila walinzi, itakumbukwa kuwa ni hivi majuzi tu ambapo Uhuru alionekana akiendesha gari mwenyewe jijini Nairobi huku msongamano wa magari ukishuhudiwa.

Uhuru amewathibitishia Wakenya kuwa ni mmoja wa marais ulimwenguni mzima ambaye anaweza kukutana na raia wake wakati wowote bila walinzi.

View attachment 1054160
Bila walinzi sababu huwaoni.
 
kwa nchi zenye advanced intelligence system ndivyo inakuwaga....hata ukienda ikulu ya Marekani haulizwi na mtu wala kuzuiwa na mtu hata kama ukishika uzio wa white house watu hawana habari na wewe
 
Nakuelewa mkuu,ila hata hili alilolifanya Uhuru hata kama security officers walikuwa at a distance is commendable.
Wangapi wameweza hata hili?Let us praise him instead of scoffing him.But why?
Jambo la kujiuliza ni kwa nini kufanya comedy kama hiyo ?
 
Hayo ni mawazo yako.Uliwaona wakiwa huko nyuma kwenye vioo vya tinted?Uhuru sio wa kwanza mkuu,kwa hiyo huna haja ya kujenga mahekalu ya barafu.
Unatakiwa kuwa Critical Thinker, shughulisha ubongo wako kwa kujiuliza ni kwa nini kaamua kuanya hivyo.
 
Rais Kenyatta anajitahidi sana kujishusha! angekuwa mzungu angeingizwa kwenye Guinness world record siyo mshamba wa madaraka kama huyu wa kwetu.
Huyu wa kibongo siyo tu kwamba ni mshamba bali hata nafasi ya kuwa Rais hakustahili. CCM waliamua kumsimika yeye siyo kwa sababu alikuwa anafaa, hapana ilikuwa ni kukinusuru chama ndiyo maana waliamua kuliweka hili garasha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli.
Wewe ukweli huwa unaupata wapi.Unasema hii sio kweli kwa sababu gani,just because you believe it's not true?I believe you have preconceived ideas and you are also trying to protect a certain entity.Mini na discuss hii issue kama ilivyo not in relationship with anybody or anything.
 
Jambo la kujiuliza ni kwa nini kufanya comedy kama hiyo ?
Kwa nini unaiita comedy,kwa kuwa umezoezwa kwamba Rais lazima awe na ulinzi I guess.But is that really necessary in all circumstances.
 
Jiulize kwanza the motive behind kufanya yote hayo.
Sidhani kama kuna motive yeyote,I believe he just wanted to be free,do what he wants to do as a human being.The presidential environment frankly is inhumane and very
unnatural.
 
Unatakiwa kuwa Critical Thinker, shughulisha ubongo wako kwa kujiuliza ni kwa nini kaamua kuanya hivyo.
Tatizo lako ni kwamba you have preconceived ideas,mimi sina,I am looking at what Uhuru did.
Tukubaliane,few heads of state can do that.Wewe unashindwa kuona hii issue in a positive perspective kwa kuwa your are trying to protect something,wakati mimi naangalia issue hii kama ya Uhuru,not in relationship to anything or anybody.
 
Impossible.......iliratibiwa hiyo route walinzi wapo,haiwezekani kiongozi wa nchi kufanya ivyo cos hapangi yeye issue za ulinzi anapangiwa
 
Great thinker wa jf

Back
Top Bottom