Escaper
JF-Expert Member
- Nov 11, 2018
- 1,780
- 3,235
Weee nyie msije jimix tu..
We toka na toy ya pistol fanya kama unamuattack ndo utaelewa hii dunia ilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
We toka na toy ya pistol fanya kama unamuattack ndo utaelewa hii dunia ilivyo.
Nilipokuwa Kigali, Rais Kagame alikuwa anakuja shuleni kuchukua watoto wake akiendesha mwenyewe bila mlinzi.
Sent using Jamii Forums mobile app