Uhuru ahimiza kiswahili kitumiwe kuunganisha afrika mashariki

Uhuru ahimiza kiswahili kitumiwe kuunganisha afrika mashariki

sikia wewe mkenya, afrika ya kusini na nigeria ukiacha kugha ya malkia, hawana lugha nyingine zaidi ya lugha zao za makabila. Ila nyinyi wakenya mnaweka mbele kiingereza na lugha zenu za makabila huku mkifanya kiswahili kuwa lugha ya tatu, so, msijilinganishe na wanigeria au S.A.nyinyi ukabila unawateketeza.[/QU English is a global language and I bet you've learnt it, hamna shida mtu kuzungumza kabila lake, shida ni ubaguzi kwa misingi ya kikabila, now, is that hard to understand?

be polite to the lady, #just wondering, why does it bother you with what language Kenyans choose to communicate with?

#stick with your Swahili! When we meet in EAC, we do so in English, when we ratify anything we do so in English, when we trade, we do so in English, so whats the issue?

Kenyans adopted English majorly due to the circumstancial position it found itself in at its independence, a colony of the UK. international trading was with the west most of the time and also because English was the most spoken language in the world. Couple this with zero intra-african trade, zero education back ground do u blame us. We did the next best thing, copied every word to the verbatim and translated or made words for those that mattered for a day to day activity into Swahili. if in Tz things are/were different dare speak.

and yes we use Swahili, but for official purposes English is the easiest way out.

Till such a time we in EAC start running meetings in Swahili, teaching accounts, engineering, nursing, political science and any other profession/discipline in Swahili, i find this debate abt English vs Swahili to be bullish, bullshit and premature ----....we all the same.

and Kenyans are proud of Swahili, the odds at times are just not to its favour.

#signed in earnest by yours truly.
 
very hard, kwanini mnatangaza kuwa kiswahili ni lugha ya taifa lenu wakati mnatumia english kama national language, huo ni unafiki na utumwa. Pili unapotumia lugha ya kabila lako kwenye public automatically huo ni ubaguzi wa kikabila, kumbuka lugha ndio inayounganisha watu kama sisi kiswahili kilivyotuunganisha.

Narejelea tena nilioyasema hapo awali, umuhimu wa lugha ni mawasiliano, ili mwenzangu anielewe, lazima nitumie lugha anyoielewa vizuri. Matumizi ya lugha zetu za asilia hutokana na sababu hiyo ya kuelewana. Pili, utumiaji wa Kingereza sio utumwa, hii ni lugha muhimu sana kibiashara na kimataifa, Kiswahili kina mapungufu mengi hadi hakiwezi linganishwa na lugha za kimataifa kama Kichina, Kifaransa na Kingereza.
Hivi huwezi somea fani kama ya Udaktari, Uhandisi nk kwa kutumia Kiswahili. Sio kama wenzetu Wachina kwa mfano unampata hajui hata neno moja la kingereza lakini yeye tayari katua kwenye mwezi. Kipindi fulani tulikuwa na kongomano pale Dar es Salaam, niliona sehemu nyingi matangazo ya bishara eti "jifunze kuongea kingereza kwa wiki sita", halafu hata kwenye kikao na wahandisi wa Kibongo mara kwa mara iliwalazimu kutumia maneno ya Kingereza kuelezea mambo kadhaa. Niliona stakabadhi nyingi zimendikwa kwa lugha ya Kingereza, mfano sheria, user manuals, maelekezo nk.... yaani ni unafiki kusema eti Wakenya watumwa wa lugha ilihali hata nyie Kingereza hamjakiepuka.
 
Hayo matangazo ya mtu kusoma kiingereza ni kwa ajili ya mawasiliano ya kimataifa na si kwa mawasiliano ya kawaida kama ambavyo wakenya wanafanya. Hilo halina ubishi, kubali au kataa huo ndio utumwa wenyewe.
 
Naona uelewa wako finyu, sitapoteza muda na wewe, hapo nimelezea na sielewi mbona inakuchukua muda mrefu kuelewa ninachokisema. Katika kuongea Kingereza sio utumwa, bali ndio lugha rahisi ya kisasa inayowezesha uelewano nchi nyingi zetu hizi. Hata Kiswahili sio lugha ya asilia ya mwafrika, soma historia upanue uelewa wako, Kiswahili kilitokana na waarabu kwa mchanganyiko na wafrika kadhaa hali Kingereza kikaja na mzungu mweupe.
Narejelea tena, kwamba Kiswahili kina mapungufu mengi na lazima kiboreshwe kwanza kabla ya kutumika kwenye taaluma mbali mbali. Mimi mhandisi kwenye maswala ya software na katika fani yangu, siwezi tumia Kiswahili bila kuchakachua na lugh ya kingereza. Nimewahi fanya kazi na Watanzania kwenye taaluma yangu na hata wao katika mawasiliano ya kikazi hawakuweza fanikisha matumizi ya Kiswahili asilimia mia, kila mara walijipata wanatumia maneno ya kingereza ili kuelezea chochote.
 
...Kingereza sio utumwa, bali ndio lugha rahisi ya kisasa inayowezesha uelewano nchi nyingi zetu hizi. Hata Kiswahili sio lugha ya asilia ya mwafrika, soma historia upanue uelewa wako...
Lugha ya kisasa ndio kitu gani? Hebu nifahamishe ni lugha ipi ya mwafrika ambayo ni ya asilia. Asilia kwako wewe ina maana gani? Wewe inaonekana bado una fikra duni. Hicho kiingereza unachokipigia debe unajua kwamba kimechanganyika sana na kilatini?
 
Afu Kiswahili ndicho hakijachanganyikana?? Waarabu walipotuletea Kiswahili, hawakuhusika katika kukiboresha zaidi kama wazungu walivyofanya lugha zao. Huwezi epuka Kingereza kwa maisha ya kisasa, hebu angalia hata JF board yenyewe imejaa maelekezo kwa lugha ya Kingereza, simu au tarakishi unayotumia ku-post humu ndani menu zote Kingereza.
 
Ninazidi kuamini kwamba unahitaji kujikomboa kifikra. Yaani unaona kila anachofanya mzungu ndio bora sio?
 
Ninazidi kuamini kwamba unahitaji kujikomboa kifikra. Yaani unaona kila anachofanya mzungu ndio bora so?
Haya nakuacha maana kabisa una kiburi ila umejaa mapungufu tele, itakugharimu muda kufunguka kiakili.
 
Haya nakuacha maana kabisa una kiburi ila umejaa mapungufu tele, itakugharimu muda kufunguka kiakili.
Kwa hiyo wewe hauna mapungufu? Ndio silaha yako ya kujitetea unaposhindwa kutetea hoja? Jibu maswali nikuulizayo kwanza. Hauna haja ya kukimbia mapema!
 
Afu Kiswahili ndicho hakijachanganyikana?? Waarabu walipotuletea Kiswahili, hawakuhusika katika kukiboresha zaidi kama wazungu walivyofanya lugha zao. Huwezi epuka Kingereza kwa maisha ya kisasa, hebu angalia hata JF board yenyewe imejaa maelekezo kwa lugha ya Kingereza, simu au tarakishi unayotumia ku-post humu ndani menu zote Kingereza.
Ulitaka waarabu waboreshe Kiswahili? Sasa mbona unajichanganya.
 
Back
Top Bottom