Uhuru ahimiza kiswahili kitumiwe kuunganisha afrika mashariki


be polite to the lady, #just wondering, why does it bother you with what language Kenyans choose to communicate with?

#stick with your Swahili! When we meet in EAC, we do so in English, when we ratify anything we do so in English, when we trade, we do so in English, so whats the issue?

Kenyans adopted English majorly due to the circumstancial position it found itself in at its independence, a colony of the UK. international trading was with the west most of the time and also because English was the most spoken language in the world. Couple this with zero intra-african trade, zero education back ground do u blame us. We did the next best thing, copied every word to the verbatim and translated or made words for those that mattered for a day to day activity into Swahili. if in Tz things are/were different dare speak.

and yes we use Swahili, but for official purposes English is the easiest way out.

Till such a time we in EAC start running meetings in Swahili, teaching accounts, engineering, nursing, political science and any other profession/discipline in Swahili, i find this debate abt English vs Swahili to be bullish, bullshit and premature ----....we all the same.

and Kenyans are proud of Swahili, the odds at times are just not to its favour.

#signed in earnest by yours truly.
 
Underestimate the importance of English language at your own peril.
 
 
 
 
...Kingereza sio utumwa, bali ndio lugha rahisi ya kisasa inayowezesha uelewano nchi nyingi zetu hizi. Hata Kiswahili sio lugha ya asilia ya mwafrika, soma historia upanue uelewa wako...
Lugha ya kisasa ndio kitu gani? Hebu nifahamishe ni lugha ipi ya mwafrika ambayo ni ya asilia. Asilia kwako wewe ina maana gani? Wewe inaonekana bado una fikra duni. Hicho kiingereza unachokipigia debe unajua kwamba kimechanganyika sana na kilatini?
 
Lugha ya kisasa ndio kitu gani? Hebu nifahamishe ni lugha ipi ya mwafrika ambayo ni ya asilia. Asilia kwako wewe ina maana gani? Wewe inaonekana bado una fikra duni. Hicho kiingereza unachokipigia debe unajua kwamba kimechanganyika sana na kilatini?

Afu Kiswahili ndicho hakijachanganyikana?? Waarabu walipotuletea Kiswahili, hawakuhusika katika kukiboresha zaidi kama wazungu walivyofanya lugha zao. Huwezi epuka Kingereza kwa maisha ya kisasa, hebu angalia hata JF board yenyewe imejaa maelekezo kwa lugha ya Kingereza, simu au tarakishi unayotumia ku-post humu ndani menu zote Kingereza.
 
Ninazidi kuamini kwamba unahitaji kujikomboa kifikra. Yaani unaona kila anachofanya mzungu ndio bora sio?
 
Ninazidi kuamini kwamba unahitaji kujikomboa kifikra. Yaani unaona kila anachofanya mzungu ndio bora so?
Haya nakuacha maana kabisa una kiburi ila umejaa mapungufu tele, itakugharimu muda kufunguka kiakili.
 
Haya nakuacha maana kabisa una kiburi ila umejaa mapungufu tele, itakugharimu muda kufunguka kiakili.
Kwa hiyo wewe hauna mapungufu? Ndio silaha yako ya kujitetea unaposhindwa kutetea hoja? Jibu maswali nikuulizayo kwanza. Hauna haja ya kukimbia mapema!
 
Ulitaka waarabu waboreshe Kiswahili? Sasa mbona unajichanganya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…