Uhuru ame fyatu!!!! What is he talking about!

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Duh, Naona roundi hii ameamua kufa kupona ameachia CID , EACC na DPP kuamua kila kitu katika vita dhidi ya Ufisadi, Rais ameinua mkono hataki kuhusishwa, mkuu wa mashataka DPP akiamua kumshika mtu yeyote afanye atakalo !!!!

Ingekua vizuri zaidii kama pia yeye angekua anafuta watu kazi, lakini vile tunajua siasa za Kenya hakuna popote angefika... Angeambiwa ana target wapinzani na jamaa kutoka kambi ya ruto!



Mskize Rais alivyoongea kule Mombasa, utadhani kapandwa na kichaa, what is he talking about???? Atupatie uhondo!!!

 
Na hawa wasee hawachesss 😂 😂 😂

Ati sote tutasoma tu kwa magazeti, flani ndo huyo ameenda, mwengine ndo huyoooo
 
Hehehe noma tena hatari, mafisadi ni kubaya. Uzuri ameachia taasisi zifanye kazi yao wao kwa mujibu wa katiba.
 
Kwani hizo taasisi si zinatakiwa ziwe huru (Au angalau zionekane zipo huru)? mtu akihusihwa na tuhuma ndio ana step down
 
Mzee alikua ana speech nzuri ya kuitoa Lakini hajui kuongea hajui kupangilia speech.
 
Mi sioni shida iko wapi. Ni venye aliamua kuongea sheng'. Sheng' ni lugha ya taifa ya vijana na kwangu naona ako tu sawa. Infact aendelee kuongea sheng' even more ndio mayutman warelate na yeye even more.
sheng waapiii! hipo siku atatapika jukwaani na ma-hang over!
 
Mihemko na mikwara. DCI Aanze na familia ya kenyatta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…