Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Duh, Naona roundi hii ameamua kufa kupona ameachia CID , EACC na DPP kuamua kila kitu katika vita dhidi ya Ufisadi, Rais ameinua mkono hataki kuhusishwa, mkuu wa mashataka DPP akiamua kumshika mtu yeyote afanye atakalo !!!!
Ingekua vizuri zaidii kama pia yeye angekua anafuta watu kazi, lakini vile tunajua siasa za Kenya hakuna popote angefika... Angeambiwa ana target wapinzani na jamaa kutoka kambi ya ruto!
Mskize Rais alivyoongea kule Mombasa, utadhani kapandwa na kichaa, what is he talking about???? Atupatie uhondo!!!