Uhuru angeuza izo Dhahabu badala ya kuzirudisha Tanzania.

Dont be good to Tanzanians this are the results
Wakenya ninyi sio watu wema, mnachojali ni maslahi tu. Sasa hivi mnajaribu kuonyesha mapenzi kwa Tanzania kwasababu mnahitaji sana kufanya biashara na Tanzania, lakini Tanzania ilipokua na matatizo ya kuwekewa vikwazo na wazungu kutokana na ushiriki wetu wa kuzikomboa nchi za Africa, mlitutenga na hamkutaka kabisa kujihusisha na sisi, mlikua bega kwa bega na wazungu wakati huku tunapambana wenyewe, hata wakati tukipigana na Idd Amin, mliendelea kumruhusu kutumia bandari ya Mombasa kupitisha silaha zake.
 
Aaaaa dogo la ban..pia uko na wivu wakulima kufaidika na hili swala...ama hujui maskini alime mwenye anunue...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
A hungry man can't fight. Kinachowasimbua ni njaa, mnalazimisha tuwe ndugu ili tuwape chakula, sikiliza hii" statement" ya katibu MKUU wa KILIMO wa Kenya, anakiri kwamba amekimbilia Tanzania kuomba chakula.
 
Ndio maana wewe sio rais. Huonekani ata kama una dakili za kuongoza vena familia yako.
 
What I like about this whole gold story is that Magufuli admitted that Kenyan detectives are way more professional and better trained than his detectives. He even requested if Kenya could train some of their policemen to follow up on such crimes.

Uhuru has failed me as a President by licking Tanzanias ass.
Kuna tani laki moja ya mahindi inakuja kusaidia kupunguza njaa kenya na ku stabilize uchumi wenu,acha.nyodo uhuru ilikua lazima arudishe hiyo dhahabu ili wewe upate mahindi
 
Angeuza angejua tz ni nani
Ha hahahaha, those things have been smuggled and sold over many years there is nothing you can do about it. We are not Uganda whom you invaded and furthermore Tanzania can not handle Uganda now(you will be obliterated in a week). Go pick a fight with burundi or rwanda and let the big boys (Kenya, ethiopia and uganda), talk.
 
Tunawasaidia we can order maize from Mexico.. Tuna saidia wakulima maskini wa tz
Kuna tani laki moja ya mahindi inakuja kusaidia kupunguza njaa kenya na ku stabilize uchumi wenu,acha.nyodo uhuru ilikua lazima arudishe hiyo dhahabu ili wewe upate mahindi
 
wewe embu kula maharage uvimbiwe ukalale naona una talk upoyoyo tu hapo yani the weak KDF wapambane na JW acha kuchekesha umma
 
wewe embu kula maharage uvimbiwe ukalale naona una talk upoyoyo tu hapo yani the weak KDF wapambane na JW acha kuchekesha umma
Why not try and find out how weak we are, even your own president and god admitted our forces are better than yours.
 
A hungry man can't fight. Kinachowasimbua ni njaa, mnalazimisha tuwe ndugu ili tuwape chakula, sikiliza hii" statement" ya katibu MKUU wa KILIMO wa Kenya, anakiri kwamba amekimbilia Tanzania kuomba chakula.
Hivi mkulima wa Tanzania kupata soko nchi jirani nalo shida? CCM mnaumwa kweli.
 
Why not try and find out how weak we are, even your own president and god admitted our forces are better than yours.
hahaha acha kunichekesha at your forces are better than ours, nenda kawaulize kilichowapata waliposogeza pua zao somalia then jibu utabaki nalo mwenyewe
 
hahaha acha kunichekesha at your forces are better than ours, nenda kawaulize kilichowapata waliposogeza pua zao somalia then jibu utabaki nalo mwenyewe
Go ask your president, while you are at it go to global firepower. You guys are too scared to even move close to al-shabaab instead you are breeding future terrorists and exporting them to other eac countries.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…