joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Wakenya ninyi sio watu wema, mnachojali ni maslahi tu. Sasa hivi mnajaribu kuonyesha mapenzi kwa Tanzania kwasababu mnahitaji sana kufanya biashara na Tanzania, lakini Tanzania ilipokua na matatizo ya kuwekewa vikwazo na wazungu kutokana na ushiriki wetu wa kuzikomboa nchi za Africa, mlitutenga na hamkutaka kabisa kujihusisha na sisi, mlikua bega kwa bega na wazungu wakati huku tunapambana wenyewe, hata wakati tukipigana na Idd Amin, mliendelea kumruhusu kutumia bandari ya Mombasa kupitisha silaha zake.Dont be good to Tanzanians this are the results