Uhuru aondoka kwenda Uchina kuiwakilisha Kenya, EAC na Afrika

Hahaha nchi ndogo kama tz? Kenya kwa Tanzania ni baby's dick nyie ni mikoa yetu mitatu in general, livable area ni our one district
kwa hivyo nkisema tz ni nchi ndogo kwa Kenya lazima niwe namaanisha surface area tu?😀😀nani hajui tz ni kubwa kwa Kenya in surface area? mimi nilimaanisha kiuchumi na kimaendeleo...tumia akili wakati mwingine
 
This is your problem sasa. Ndio maana unakomaa kupiga hesabu. Investment ya kwenu ni tofauti kabisa na hii tuliyonayo hapa TZ. Sasa unasema GoT itarudhisha pesa kwa nani? Ndiyo maana nikakuambia unatakiwa uifahamu kwanza hiyo project kisha uje hapa uanze kupiga kelele.

Upon completion, the SEZ will attract 700 factories and become a strategic investment zone in East Africa. The project is backed financially by China Merchants Holdings International (CMHI), China’s largest operator, and Oman’s State General Reserve Fund.

Je, unafikilia hii ni loan? We are doing win win business rafiki. Ni kama China and other socialist countries do.
Your SGR is 100% loan. Kwahiyo usijiringanishe na sisi. Tumia akili yako vizuri.

Tanzania Does not have a $10bn Loan for bagamoyo..The chinese investor is directly investing this money..Its like FDI, though its a differed FDI that will accure at the end of lease
Naona nyote hamjaelewa. CMHI imenunua shamba lease ya 99yrs.... Hii dili mliopiga ni model ya DBOT.. Design-Build-Operate-Transfer .... China watafanya design. ..Watajenga bandari na viwanda na hata reli kwa takriban $10B..... Alafu Wataoperate hii bandari na kuchukua faida zote kwa miaka hio yote! Hadi ile siku wataregesha hio + $10B (pesa ambazo GoT itapata ni ushuru tu) .... Kitu ambacho kitawachukua zaidi ya miaka 100...
Sipingi kwamba uwekezaji huu hautaleta ajira na kukuza uchumi.... ninachosema ni kwamba wachina watakua wanamiliki hio bandari muhimu hadi karne ijayo... ( Hebu imagin kama tungekua tumeacha mchina ajenge na kumiliki SGR Kenya for 99 yrs na watulipe kodi ya shamba tu, faida wapeleke China)... isitoshe, bandari ya Dar ambayo imejengwa na GoT itakufa manake kila mwanabiashara atakimbilia bagamoyo...
 
Mkiiyona Kenya please tag me.😂😂😂😂😂
IMG_20180902_140025.jpg
 
Aise bado umekomaa tu na jambo hilo!? Hivi unajua concept ya PPP. GoT is the one of shareholders. Shareholders ni China, Oman and GoT. Ndio maana nimekuambia jifunze socialist countries how they operate.
 
Naona nyote hamjaelewa. CMHI imenunua shamba lease ya 99yrs.... Hii dili mliopiga ni model ya DBOT.. Design-Build-Operate-Transfer .... China watafanya design. ..Watajenga bandari na viwanda na hata reli kwa takriban $10B..... Alafu Wataoperate hii bandari na kuchukua faida zote kwa miaka hio yote! Hadi ile siku wataregesha hio + $10B (pesa ambazo GoT itapata ni ushuru tu) .... Kitu ambacho kitawachukua zaidi ya miaka 100...
Sipingi kwamba uwekezaji huu hautaleta ajira na kukuza uchumi.... ninachosema ni kwamba wachina watakua wanamiliki hio bandari muhimu hadi karne ijayo... ( Hebu imagin kama tungekua tumeacha mchina ajenge na kumiliki SGR Kenya for 99 yrs na watulipe kodi ya shamba tu, faida wapeleke China)... isitoshe, bandari ya Dar ambayo imejengwa na GoT itakufa manake kila mwanabiashara atakimbilia bagamoyo...
Ficha ujinga wako bwana,Sasa kwa sababu EABL ina milikiwa na Britain kwa miaka 1000 itakayo kuja mbona hulalamiki? Ama vile KQ?
Tanzania ipo na dar port, Tanga and Mtwara..Which GoT controls 100%. Even if the BagaMoyo Port Gives stiff competion to the other ports, GoT can still Raise. customs duties at Bagamoyo to control the amount of Shipment going through the port..
Stop clutching on straw, BOT is the best investment, Commercial loans are NOT
 
Naona nyote hamjaelewa. CMHI imenunua shamba lease ya 99yrs.... Hii dili mliopiga ni model ya DBOT.. Design-Build-Operate-Transfer .... China watafanya design. ..Watajenga bandari na viwanda na hata reli kwa takriban $10B..... Alafu Wataoperate hii bandari na kuchukua faida zote kwa miaka hio yote! Hadi ile siku wataregesha hio + $10B (pesa ambazo GoT itapata ni ushuru tu) .... Kitu ambacho kitawachukua zaidi ya miaka 100...
Sipingi kwamba uwekezaji huu hautaleta ajira na kukuza uchumi.... ninachosema ni kwamba wachina watakua wanamiliki hio bandari muhimu hadi karne ijayo... ( Hebu imagin kama tungekua tumeacha mchina ajenge na kumiliki SGR Kenya for 99 yrs na watulipe kodi ya shamba tu, faida wapeleke China)... isitoshe, bandari ya Dar ambayo imejengwa na GoT itakufa manake kila mwanabiashara atakimbilia bagamoyo...

Ahaaa haaa haaa
Kwanza siyo dbot ni DFBOT hiyo ni PPP ambayo ni nzuri. Kwa maana all risks are rest to investors. Hatutakuwa na headache yoyote kwa maana hakuna hela tutakayotumia, pia hakuna interest, pia the residual asset or facility will revert back to the government after the pay BACK period. Also the project will give a tremendous economic benefit to the country. A lot of third-party enterprise or businesses will prosper around the project area.

Kwa UPANDE mwingine the ground rent and other levies will be reviewed within the agreed TIME. Also the aspect of land value capture will be featured in to get the appropriate share from project.
 
Ingekua ni Kenya imekubali such a huge project iwe PPP ambayo foreigner ndo majority shareholder, ingekua wanahabari walichangamkia an kukosoa kitambo Kama vile walikosoa Loan ya SGR Kenya. Huku Kenya hua wanapenda kuchambua kila kitu , tayari wameanza kukosoa projects za PPP. Manake PPP is nothing but a fancy word for a loan. Only badala ya serekali kulipa deni. Ni watumizi wa kawaida ndo wanalipa Hilo deni hadi peas zote zirudi kwa mwekezaji ajilipe mwenyewe alafu ndo awapatie wenyewe .

Why Kenya wants China to pay half the cost of SGR extension

But with public debt reaching Sh5.1 trillion, President Uhuru Kenyatta’s delegation also proposed a change in the public private partnership (PPP) in financing for other infrastructural projects. PPP might prevent the public from choking under a huge repayment bill, but critics say the projects might actually cost more as the financiers recoup their money operating them for some time.
For example, Kenya secured a PPP deal to build a 30-kilometre expressway from the Jomo Kenyatta International Airport to Westlands in Nairobi.
The road is to be financed by China, but Beijing will do the tolling until it recoups its money.

————-
This is what I have been saying all along. Jitayarisjeni kwa bagamoyo kumilikiwa na wachina for +100 year
 
Hakuna ubaya wowote,
PPP inachukua all risk toka kwa GoT. Cha msingi ni kuangalia project costs and value for money (VfM). Kwenye payback period yoote some % of paycash will be remitted to the GoT as a sort of revenue sharing. For me that is better than leaving idle the Bagamoyo LAND.
 
haha rais wao kaenda kuomba kujengewa reli bure yaani bora angekituliza tu yani safaro yote kwenda kudanga ili apate vya bure
 
one of the advantages of our strategic position in africa...
Haha baba zenu wazungu wamewasusa mchina anakuja kuwapapasa makalio tu kwani unadhani watu wameshasahau nyie ni vibaraka wa mabepari wa magharibi jipendekezeni tu mmeandaliwa chamoto na shobo zenu
 
we bado uko huku😀😀😀...😳enda na wakati bwana
 
Back
Top Bottom