Uhuru aruhusu maandamano

Uhuru aruhusu maandamano

subirini waandamane mtakuja na stori tofauti tena ninyi ninyi hawa hawa
 
Watu mnalaumu TZ, kwani kama mnaona katiba inawaruhusu si muandamane kwa nini msubiri hadi rais awape ruhusa?
Hii kitanzania asiyeijua ndio ataiona ina akili.

Inapiga kelele mitandaoni na kuunga hoja za kutetea maslahi ya umma,
Vichekesho huanza pale yanapoambiwa kesho au wiki kesho ndio siku ya kutekeleza azma yooooooote onakuwa bize.

Utashangaa imekomaa tu mitandaoni kwenye kutekeleza yanawatoa watu au mtu mmoja tuu kama kafara,

MIPUMBAVU SANA MITANZANIA HASA VIJANA( ina BWM voice)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom