Uhuru aweka saini mswada wa kudhibiti riba za benki.

Uhuru bangi inamsaidia kufikiri vitu vya maana na kutekeleza huku kwetu ni mihemko isiyo na tija...hakika waTZ mbele ya Kenya tutakuwa nyuma kama fisi tukitegemea Mkono uanguke..

Jamani nimecheka hadi aibu hapa nilipo, eti bangi inamsaidia kufikiri vitu vya maana....hehehehe
Hivi kwenu unaweza kusema mkulu anatumia bangi na ubaki salama, ama wale jamaa watabisha hodi kwako...
 
Tanzania IPO 18%-48% Kwa mwezi.Mbaya sana kuwa na watawala wa matukio tuu
 
hahaaa...acha masihara bana....bangi tena?
 
Tanzania IPO 18%-48% Kwa mwezi.Mbaya sana kuwa na watawala wa matukio tuu
Watawala Tanzania wanaishi miaka ya sitini. Mfano mdogo swali la uraia pacha bado linawasumbua akili pamoja na mchango mkubwa wa diaspora kwa uchumi wa Tanzania. Shuhudia kongamano la diaspora linaloendelea Zanzibar kwa kweli limesusiwa ,makada wa CCM ndio wamejaza ukumbi.
 
Tanzania IPO 18%-48% Kwa mwezi.Mbaya sana kuwa na watawala wa matukio tuu
Duh! 48%?! Nusu ya mshahara kabisa.

Mama alichukua mkopo taasisi fulani, wakasema watakuwa wana riba ndogo, lakini akawa analiwa almost 40% riba ... Nilimhurumia sana & nilikuwa chuo muda huo.

Tokea kipindi hicho "I hate mikopo."
 
Jamani nimecheka hadi aibu hapa nilipo, eti bangi inamsaidia kufikiri vitu vya maana....hehehehe
Hivi kwenu unaweza kusema mkulu anatumia bangi na ubaki salama, ama wale jamaa watabisha hodi kwako...

Unanyongwa hadharani.
 
Uhuru bangi inamsaidia kufikiri vitu vya maana na kutekeleza huku kwetu ni mihemko isiyo na tija...hakika waTZ mbele ya Kenya tutakuwa nyuma kama fisi tukitegemea Mkono uanguke..
Means ili tuendelee na viongozi wetu wavute bangi?
 
Dah nawatamani Wakenya ,Katiba mpya,Tume huru hata kama sio huru kivile , japo yote hayo yalipatikana kwa nguvu kubwa ,siku moja tutafika huko

huku hatujakuwa na constitutional crises, ile upate msukumo wa katiba mpya lazima litoke hilo mdundane ndio mtakaa chini kutengeneza mpya.
 
Ni kweli hakuna mabadiliko yanayokuja bila sacrifice
 
18 - 48%!!! Nani anachuka mkopo na hio riba!! Si wizi huo?
 
kama riba ya Tz iko juu hivyo haikosekani wale marehani wako wengi sana huko., haswa vijiweni vijiweni, unapeana fridge au tv au generator ya bei ghali alafu unakopeshwa pesa, ukishindwa kulipa wanachukua vitu vyako na kuviuza kwa wengine
 
Huko nyumbani mzee wa Chato yeye muda wote anawaza namna ya Kuwatisha wapinzani ili asikike yeye peke yake. Poor.....
 
Uhuru bangi inamsaidia kufikiri vitu vya maana na kutekeleza huku kwetu ni mihemko isiyo na tija...hakika waTZ mbele ya Kenya tutakuwa nyuma kama fisi tukitegemea Mkono uanguke..
Hiyo kitu ni dawa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…