simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,418
- 9,209
Rais Uhuru aweka saini mswada wa kudhibiti riba za benki kutozidi asilimia 4 riba ya benki kuu. Ina maana riba za mikopo ya benki Kenya haitozidi asilimia 15. Hongera Jubilee, serikali sikivu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uhuru bangi inamsaidia kufikiri vitu vya maana na kutekeleza huku kwetu ni mihemko isiyo na tija...hakika waTZ mbele ya Kenya tutakuwa nyuma kama fisi tukitegemea Mkono uanguke..
hahaaa...acha masihara bana....bangi tena?Uhuru bangi inamsaidia kufikiri vitu vya maana na kutekeleza huku kwetu ni mihemko isiyo na tija...hakika waTZ mbele ya Kenya tutakuwa nyuma kama fisi tukitegemea Mkono uanguke..
Watawala Tanzania wanaishi miaka ya sitini. Mfano mdogo swali la uraia pacha bado linawasumbua akili pamoja na mchango mkubwa wa diaspora kwa uchumi wa Tanzania. Shuhudia kongamano la diaspora linaloendelea Zanzibar kwa kweli limesusiwa ,makada wa CCM ndio wamejaza ukumbi.Tanzania IPO 18%-48% Kwa mwezi.Mbaya sana kuwa na watawala wa matukio tuu
Duh! 48%?! Nusu ya mshahara kabisa.Tanzania IPO 18%-48% Kwa mwezi.Mbaya sana kuwa na watawala wa matukio tuu
Jamani nimecheka hadi aibu hapa nilipo, eti bangi inamsaidia kufikiri vitu vya maana....hehehehe
Hivi kwenu unaweza kusema mkulu anatumia bangi na ubaki salama, ama wale jamaa watabisha hodi kwako...
Means ili tuendelee na viongozi wetu wavute bangi?Uhuru bangi inamsaidia kufikiri vitu vya maana na kutekeleza huku kwetu ni mihemko isiyo na tija...hakika waTZ mbele ya Kenya tutakuwa nyuma kama fisi tukitegemea Mkono uanguke..
Mkuu ni kweli? Riba Tanzania ipo hivo?Tanzania IPO 18%-48% Kwa mwezi.Mbaya sana kuwa na watawala wa matukio tuu
Dah nawatamani Wakenya ,Katiba mpya,Tume huru hata kama sio huru kivile , japo yote hayo yalipatikana kwa nguvu kubwa ,siku moja tutafika huko
Ni kweli hakuna mabadiliko yanayokuja bila sacrificehuku hatujakuwa na constitutional crises, ile upate msukumo wa katiba mpya lazima litoke hilo mdundane ndio mtakaa chini kutengeneza mpya.
Haswa IPO hivyoMkuu ni kweli? Riba Tanzania ipo hivo?
Mpka 63% miaka 5 baadhi ya benki!Tanzania IPO 18%-48% Kwa mwezi.Mbaya sana kuwa na watawala wa matukio tuu
Hiyo kitu ni dawa...Uhuru bangi inamsaidia kufikiri vitu vya maana na kutekeleza huku kwetu ni mihemko isiyo na tija...hakika waTZ mbele ya Kenya tutakuwa nyuma kama fisi tukitegemea Mkono uanguke..