Uhuru Baada Ya Kumtumia Ruto Kupata Uraisi Ameamua Kumtosa

Jackal

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
9,971
Reaction score
13,608
Kenya bila kuwa Kikuyu huwezi kupata uraisi, sawasawa na Tanzania bila kuwa katoliki huwezi kuwa raisi manake hata bakwata ni tawi la katoliki!
Screenshot_2019-04-22-07-07-45.png
 
siasa ni utapeli!
Kweli mkuu nadhani kwenye MOU yao ilikuwa wapokezane vijiti, yeye uhuru baada kupata amemgeuka mwenzake na kujifanya yuko busy kupambana na ufisadi kumbe ana mlenga Ruto kumkwamisha!
 
Dhambi ya ubaguzi Kenya haitasha leo wala kesho. Wakati mzee Jaramogi Ojinga Odinga akipokea uhuru wa kenya alikataa akidai hadi Mzee Kenyata aachiwe huru kwa kuwa alikuwa ni mfungwa. Kenyatta baada ya kuachiwa akawa Rais na Jaramog kuwa Makamu wa Rais. Hata hivyo Kenyatta hakupenda kuendelea na mtu mwerevu hivyo akamteua Mwalimu Daniel Toroit Arap Moi kuwa makamu wa Rais. Ikumbukwe pia alipoingia madarakani mzee Kenyatta aliendelea kutumia katiba ya mkoloni iliyompa madaraka makubwa sana!
Kenyatta akafa akiwa bado ni kiongozi wa nchi na mkalenjini Moi akachukua nchi.Baada ya moi kustaafu urais akaingia kibaki kwa makubaliano ya kuachia madaraka baada ya miaka mitano kwa Raila Odinga.Odinga akampa support ila baada ya miaka mitano Kibaki akabadilika na kuamua kuendelea. Uhuru ni mwanasiasa ila kwa kuwa hakuwa na ushawishi mkubwa kijamii ikabidi amtumie Ruto kuingia ikulu.Yanayoendelea sasa katika siasa za Kenya mnayajua!
 
Duh
 
Ahaaa haaa haaa
Muacheni Uhuru jamani. Yeye yuko busy anapambana na kupigana usiku na mchana bandari ya Mombasa isiende kwa waChina.
 
Ilo lipo wazi Ruto alisababisha mauaji hasa ya wakikuyu mwaka 2007 halafu ana fitina za kibiashara na unajua wakikuyu ni wafanya biashara

Ndio maana itakuwa ngumu sana kwenda Ikulu pia sio popular ndani ya jeshi na usalama wa Taifa kenya "

Alichovuruga kabisa ni kufanya bifu na Raila uku akisahau kuwa ndio mwanasiasa mwenye ushawishi kenya kuliko wote"

Rais ajaye ni mtoto wa Moi
 
Mtapigwa na butwaa kwenye uchaguzi wa urais, mwaka wa 2022 ukiwadia. Tutampigia Raila Amollo Odinga kura, sisi ambao tulimnyima kura zetu 2017. Mambo yalishabadilika, Ruto akadai deni lake kwa rafiki yake rais Uhuru Kenyatta. Hayatuhusu sisi.
 
Siasa ina Mambo sana ; Ruto amekomaa na urais utafikiri waKenya walimuahidi urais. Akikosa ndo atajijenga vizuri ; hajui kua akina Kalonzo nae Alikua makamu wa rais lakini kwasasa amebaki kama mtoto yatima.
 
Wewe ni kabila gani?
 
Mtu anapiga kampeni 24/7 kila siku ya wiki kutoka uchaguzi wa 2017 ulipoisha. Majukumu yake kama naibu rais yamekuwa ni kukwaza wenzake kwenye agenda zao za maendeleo, uchaguzi huo mwingine utakapowadia sijui atawaambia nini wapiga kura.
 
Back
Top Bottom