Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhambi ya ubaguzi Kenya haitasha leo wala kesho. Wakati mzee Jaramogi Ojinga Odinga akipokea uhuru wa kenya alikataa akidai hadi Mzee Kenyata aachiwe huru kwa kuwa alikuwa ni mfungwa. Kenyatta baada ya kuachiwa akawa Rais na Jaramog kuwa Makamu wa Rais. Hata hivyo Kenyatta hakupenda kuendelea na mtu mwerevu hivyo akamteua Mwalimu Daniel Toroit Arap Moi kuwa makamu wa Rais. Ikumbukwe pia alipoingia madarakani mzee Kenyatta aliendelea kutumia katiba ya mkoloni iliyompa madaraka makubwa sana!Kweli mkuu nadhani kwenye MOU yao ilikuwa wapokezane vijiti, yeye uhuru baada kupata amemgeuka mwenzake na kujifanya yuko busy kupambana na ufisadi kumbe ana mlenga Ruto kumkwamisha!
DuhDhambi ya ubaguzi Kenya haitasha leo wala kesho. Wakati mzee Jaramogi Ojinga Odinga akipokea uhuru wa kenya alikataa akidai hadi Mzee Kenyata aachiwe huru kwa kuwa alikuwa ni mfungwa. Kenyatta baada ya kuachiwa akawa Rais na Jaramog kuwa Makamu wa Rais. Hata hivyo Kenyatta hakupenda kuendelea na mtu mwerevu hivyo akamteua Mwalimu Daniel Toroit Arap Moi kuwa makamu wa Rais. Ikumbukwe pia alipoingia madarakani mzee Kenyatta aliendelea kutumia katiba ya mkoloni iliyompa madaraka makubwa sana!
Kenyatta akafa akiwa bado ni kiongozi wa nchi na mkalenjini Moi akachukua nchi.Baada ya moi kustaafu urais akaingia kibaki kwa makubaliano ya kuachia madaraka baada ya miaka mitano kwa Raila Odinga.Odinga akampa support ila baada ya miaka mitano Kibaki akabadilika na kuamua kuendelea. Uhuru ni mwanasiasa ila kwa kuwa hakuwa na ushawishi mkubwa kijamii ikabidi amtumie Ruto kuingia ikulu.Yanayoendelea sasa katika siasa za Kenya mnayajua!
Mbona umeguna ndugu!
Dhambi ya ubaguzi Kenya haitasha leo wala kesho. Wakati mzee Jaramogi Ojinga Odinga akipokea uhuru wa kenya alikataa akidai hadi Mzee Kenyata aachiwe huru kwa kuwa alikuwa ni mfungwa. Kenyatta baada ya kuachiwa akawa Rais na Jaramog kuwa Makamu wa Rais. Hata hivyo Kenyatta hakupenda kuendelea na mtu mwerevu hivyo akamteua Mwalimu Daniel Toroit Arap Moi kuwa makamu wa Rais. Ikumbukwe pia alipoingia madarakani mzee Kenyatta aliendelea kutumia katiba ya mkoloni iliyompa madaraka makubwa sana!
Kenyatta akafa akiwa bado ni kiongozi wa nchi na mkalenjini Moi akachukua nchi.Baada ya moi kustaafu urais akaingia kibaki kwa makubaliano ya kuachia madaraka baada ya miaka mitano kwa Raila Odinga.Odinga akampa support ila baada ya miaka mitano Kibaki akabadilika na kuamua kuendelea. Uhuru ni mwanasiasa ila kwa kuwa hakuwa na ushawishi mkubwa kijamii ikabidi amtumie Ruto kuingia ikulu.Yanayoendelea sasa katika siasa za Kenya mnayajua!
Siasa ina Mambo sana ; Ruto amekomaa na urais utafikiri waKenya walimuahidi urais. Akikosa ndo atajijenga vizuri ; hajui kua akina Kalonzo nae Alikua makamu wa rais lakini kwasasa amebaki kama mtoto yatima.Mtapigwa na butwaa kwenye uchaguzi wa urais, mwaka wa 2022 ukiwadia. Tutampigia Raila Amollo Odinga kura, sisi ambao tulimnyima kura zetu 2017. Mambo yalishabadilika, Ruto akadai deni lake kwa rafiki yake rais Uhuru Kenyatta. Hayatuhusu sisi.
Wewe ni kabila gani?Mtapigwa na butwaa kwenye uchaguzi wa urais, mwaka wa 2022 ukiwadia. Tutampigia Raila Amollo Odinga kura, sisi ambao tulimnyima kura zetu 2017. Mambo yalishabadilika, Ruto akadai deni lake kwa rafiki yake rais Uhuru Kenyatta. Hayatuhusu sisi.
Kabila la mkenya halisi.Wewe ni kabila gani?
Mtu anapiga kampeni 24/7 kila siku ya wiki kutoka uchaguzi wa 2017 ulipoisha. Majukumu yake kama naibu rais yamekuwa ni kukwaza wenzake kwenye agenda zao za maendeleo, uchaguzi huo mwingine utakapowadia sijui atawaambia nini wapiga kura.Siasa ina Mambo sana ; Ruto amekomaa na urais utafikiri waKenya walimuahidi urais. Akikosa ndo atajijenga vizuri ; hajui kua akina Kalonzo nae Alikua makamu wa rais lakini kwasasa amebaki kama mtoto yatima.