Hata nchi hii ilitafuta Uhuru kwa kutembeza mabakuli, hata historia ya jinsi tulivyo pata Uhuru hujui, Bora ukae kimya kwa sababu tayari tusha fahamu upeo wako wa kufikiria jinsi ilivyo chini unahitaji kubustiwa.Usisahau kuweka link ya Arusha kamanda [emoji16]
Tunataka tuone mabakuli yanavyotembezwa
Poaaa, basi msione aibu kurusha picha za mabakuli 😁 😁 ...Hata nchi hii ilitafuta Uhuru kwa kutembeza mabakuli, hata historia ya jinsi tulivyo pata Uhuru hujui, Bora ukae kimya kwa sababu tayari tusha fahamu upeo wako wa kufikiria jinsi ilivyo chini unahitaji kubustiwa.
Poaaa, basi msione aibu kurusha picha za mabakuli 😁 😁 ...
Zile 6bn michango ya wabunge yote amekula Mbowe 🙄
Hela waliopata maafa kagera ulipewa mgao .Poaaa, basi msione aibu kurusha picha za mabakuli [emoji16] [emoji16] ...
Zile 6bn michango ya wabunge yote amekula Mbowe 🙄
😁Kumbuka na zile alizokuwa anakuhonga ndio hizo hizo.
Hapana kamanda, sikupata mgao kwa kuwa mimi sikuathirika na maafa 😁...Hela waliopata maafa kagera ulipewa mgao .
Ukiwa na fikra za kishetani unawaza kishetani shetaniUhuru wa kupora mali za nchi na kutolipa kodi. Ni aibu kukosa sera yaani hospital kibao zimejengwa, elimu bure
Bila miundo mbinu hizo bidhaa za kilimo zitafikaje sokoni.
Hebu tumieni akili
Hospital bila dawa ni bure.Uhuru wa kupora mali za nchi na kutolipa kodi. Ni aibu kukosa sera yaani hospital kibao zimejengwa, elimu bure
Bila miundo mbinu hizo bidhaa za kilimo zitafikaje sokoni.
Hebu tumieni akili
Kuna haja gani ya kuongoza chama kisichokubalika na wananchi?
Chama ambacho hakishindi bila kuiba kura.
Chama ambacho viongozi wake wanakiri hadharani kuwa ushindi wait unatokana na kuwatumia polisi na TISS.
Chama ambacho kinaitumia NEC kuwaengua wapinzani wake.
Hiki chama hakika Ni CHAMA CHA MASHETANI
Uwezo wako wa kujenga hoja ndio huo.Hapana kamanda, sikupata mgao kwa kuwa mimi sikuathirika na maafa [emoji16]...
Wewe ulipata mgao wa 6bn kutoka kwa Mbowe ?
Usisahau link na picha za mabakuli kamanda[emoji16][emoji16][emoji16]
*CCM WANAORODHESHA VITU BADALA YA KUTUPA MIPANGO* .Uhuru wa kupora mali za nchi na kutolipa kodi. Ni aibu kukosa sera yaani hospital kibao zimejengwa, elimu bure
Bila miundo mbinu hizo bidhaa za kilimo zitafikaje sokoni.
Hebu tumieni akili
Kipi kinazidi kingine,anayenyima haki zilizoainishwa katika Sheria ama anayetetea utekelezaji wa Sheria ilikupata hakiWapo wajinga wanaodhani kuwa ubelgiji hakuna sheria za ukwepaji kodi,wanadhani ubelgiji hakuna magereza,mataifa yote duniani yanasheri na wapo wanaozilalamikia kwa sababu tu sheria zimeundwa ili zifuatwe sema ukishakuwa mwanasheria tena mwanaharakati na wakili wewe utasimamma kumtetea muuaji,jambazi,muhujumu bila kujali amefanya au hajafanya na anafanya hayo kwa malipo leo hii lissu awe mtetetzi wenu kweli watu wana akili.
Kwiyo unataka kuniambia sheria ya mazingira ya dunia iliyokuwa inatukataza kujenga bwawa la umeme rufiji ilikuwa inafaa ifuatwe,au sheria ya marekani iliyowapa nguvu polisi kuua mtu mweusi ni sahihi ifuatwe ni hivi sheria hutungwa kwa lengo zuri lakini si msaafu kwamba zikishindwa kutekelezeka kwamba zisifutwe lahasha zipo sheria ambazo kutokana na mazingira zimepitwa na wakati lakini zipo na hazisimamiwi ipasavyo kutokana na madhara yake kwa wakati uliopo.mfano:leo hii sheria ya usalama barabarani inataka kupigwa faini tsh 20000 baiskeli mbovu,je sheria hii inafanya kazi mtaani kwenu si inapuuzwa tu,ni kwa sababu imepitwa na wakati,huyu lisu anajua sheria lakini hata yeye anapotaka sheria isimamiwe sehemu nyingine kama za uchaguzi,dhamana na nyingine nyingi kwanini alalamikie sheria ya vyombo vya habari,au zile za uhujumu uchumi ni kwasababu kwake anaziona zinamtesa,we we na mimi tumeguswa?hivyo ili sheria iwe mbaya lazima ikuguse na hakuna sheria yoyote rafiki duniani bali kuna sheria nafuu tu,marekani wanasema wao wako huru vipi kuhusu mauaji ya weusi kila kukicha.Kipi kinazidi kingine,anayenyima haki zilizoainishwa katika Sheria ama anayetetea utekelezaji wa Sheria ilikupata haki
Wezi mliiba sasa mnaturudishia taratibuTutanunua ndege nyingine tano
Sera bora ambayo haijawahi kutokea.
Mwanadamu yeyote yule anahitajika kuwa huru katika maamuzi, na hii ndio maana kamili ya utashi. Hongereni CHADEMA.
Haki kila mwanadamu yeyote yule anazo haki zake za msingi , ikiwa ni pamoja na tiba, elimu, kuishi, nk
Maendeleo, kila mwanadamu anahitaji maendeleo yake binafsi iwe ni katika kilimo, kazi, biashara, nk. Ukishawawezesha watu wako mmoja mmoja kupata maendeleo ndipo unakuja na maendeleo ya ujumla.
Watanzania ebu tuangalie tulikotoka na hali tuliyonayo tusirudie makosa. Kwa kauli mbiu ya hii ya CHADEMA, nawapa hongera.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Sera bora ambayo haijawahi kutokea.
Mwanadamu yeyote yule anahitajika kuwa huru katika maamuzi, na hii ndio maana kamili ya utashi. Hongereni CHADEMA.
Haki kila mwanadamu yeyote yule anazo haki zake za msingi , ikiwa ni pamoja na tiba, elimu, kuishi, nk
Maendeleo, kila mwanadamu anahitaji maendeleo yake binafsi iwe ni katika kilimo, kazi, biashara, nk. Ukishawawezesha watu wako mmoja mmoja kupata maendeleo ndipo unakuja na maendeleo ya ujumla.
Watanzania ebu tuangalie tulikotoka na hali tuliyonayo tusirudie makosa. Kwa kauli mbiu ya hii ya CHADEMA, nawapa hongera.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.