Uchaguzi 2020 Uhuru, Haki na Maendeleo: Sera bora kabisa kuwahi kutokea

mcoloo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2015
Posts
918
Reaction score
1,402
Sera bora ambayo haijawahi kutokea.

Mwanadamu yeyote yule anahitajika kuwa huru katika maamuzi, na hii ndio maana kamili ya utashi. Hongereni CHADEMA.
Haki kila mwanadamu yeyote yule anazo haki zake za msingi , ikiwa ni pamoja na tiba, elimu, kuishi, nk

Maendeleo, kila mwanadamu anahitaji maendeleo yake binafsi iwe ni katika kilimo, kazi, biashara, nk. Ukishawawezesha watu wako mmoja mmoja kupata maendeleo ndipo unakuja na maendeleo ya ujumla.

Watanzania ebu tuangalie tulikotoka na hali tuliyonayo tusirudie makosa. Kwa kauli mbiu ya hii ya CHADEMA, nawapa hongera.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
 
Huwezi kuwa na haki kama hujatimiza wajibu wako,na huwezi kuwa huru kama unamtegemea fulani ndiye akuendeshee uchumi wako,hata siku moja haitakuja kutokea mtu hasiyewajibika kwa familia,nchi akawa huru,uhuru na haki ni sera ya kijinga kabisa kwa sababu duniani kote hakuna nchi hisiyo na gereza wala polisi.

Pia tumeshuhudia wahubiri haki wakiwemo hao waliomtuma waliua maelfu ya wakongo,na mpaka leo Ubelgiji wanaitumia kongo kwa manufaa yao hawataki itawalike, ndio maana soko kubwa la almasi lipo belgium na pia unatakiwa uelewe nchi kama marekani wanahubili haki lakini leo hii R. Kelly anasota magerez kwa makosa ya kusadikika, haki iko wapi,polisi wa marekani kila leo wanaua watu weusi kwa risasi, wakikamata mtoto, mwanamke ni pingu za nyuma haijalishi kosa lako hata madai ni pingu tu, leo museme uhuru na haki ni haki gani mnazozitaka kutukanana mnataka muanze kukimbia wakati muko stage ya kutambaa,sikuzote kurukia tabia ya mtu fulani au maisha ya watu fulani huwa kuna madhara yake.

Zamani tulikuwa tunaona mtu anayetumia madawa ya kulevya ni mjanja sana lakini kwa sababu ya kuiga,kuvaa mlegezo,na kufanya ujinga ambao sisi kama taifa tukiletewa tulipaswa kuchambua na kuutafakali,hatuwezi kuliiga taifa lililo na uhuru kwa miaka 200 wao wamepitia vizazi vingi vya elimu Tanzania tupo kizazi cha tatu ambacho kinajikongoja kwa elimu ya kukalili na si kuelewa.
 
Unajua watazania waliopo chadema ni watu wa hovyo sana wao nwanadhani lissu akichukua nchi,wakikwepa kulipa kodi hawata kamatwa,wakifanya makosa hawata kamatwa,wanafikla mfu,kwa vyovyote vile lissu akiwa raisi hawezi kukubali nchi ichezewe icho ni kiapo,hawezi kuendesha nchi bila kuweka makosa yatakayosimamia taasisi,anasema kwamba ataifuta tra maana ataanziasha tra ambayo hakuna kosa kukwepa kodi au kudanganya,au kuuza vitu feki,au akiifuta sheria vya vyombo vya habari hakuna sheria itakayosimamia makosa ya kuchochezi yeye ataacha tu vyombo vijiendeshe watu watakaofundisha ngono sawa,kutukanana sawa,kutoa habari ya uwongo sawa,kutoweka mizania ya habari sawa yaani litakuwa taifa la ovyo,na haitachukua miaka mingi tutakuwa kama taifa mfu maana anasema ataruhusu bidhaa nyingi kutoka nje na chochote kitaruhusiwa kuingia hebu jiulizeni.
Achana na wajinga hawa, huko kwa mabeberu kukwepa kodi ni kosa kubwa na linakupoteza kabisa, yeye Lissu anataka kuendesha nchi bila kodi, si kichaa huyu
 
Huwezi kuwa na haki kama hujatimiza wajibu wako,na huwezi kuwa huru kama unamtegemea fulani ndiye akuendeshee uchumi wako,hata siku moja haitakuja kutokea mtu hasiyewajibika kwa familia,nchi akawa huru,uhuru na haki ni sera ya kijinga kabisa kwa sababu duniani kote hakuna nchi hisiyo na gereza wala polisi.

Pia tumeshuhudia wahubiri haki wakiwemo hao waliomtuma waliua maelfu ya wakongo,na mpaka leo Ubelgiji wanaitumia kongo kwa manufaa yao hawataki itawalike, ndio maana soko kubwa la almasi lipo belgium na pia unatakiwa uelewe nchi kama marekani wanahubili haki lakini leo hii R. Kelly anasota magerez kwa makosa ya kusadikika, haki iko wapi,polisi wa marekani kila leo wanaua watu weusi kwa risasi, wakikamata mtoto, mwanamke ni pingu za nyuma haijalishi kosa lako hata madai ni pingu tu, leo museme uhuru na haki ni haki gani mnazozitaka kutukanana mnataka muanze kukimbia wakati muko stage ya kutambaa,sikuzote kurukia tabia ya mtu fulani au maisha ya watu fulani huwa kuna madhara yake.

Zamani tulikuwa tunaona mtu anayetumia madawa ya kulevya ni mjanja sana lakini kwa sababu ya kuiga,kuvaa mlegezo,na kufanya ujinga ambao sisi kama taifa tukiletewa tulipaswa kuchambua na kuutafakali,hatuwezi kuliiga taifa lililo na uhuru kwa miaka 200 wao wamepitia vizazi vingi vya elimu Tanzania tupo kizazi cha tatu ambacho kinajikongoja kwa elimu ya kukalili na si kuelewa.
Anataka dar iwe uchochoro wa kupitishia madawa ya kulevya sio? Pompeo atambeba Kama pablo escobar
 
Sera bora ambayo haijawahi kutokea.

Mwanadamu yeyote yule anahitajika kuwa huru katika maamuzi, na hii ndio maana kamili ya utashi. Hongereni CHADEMA.

Haki kila mwanadamu yeyote yule anazo haki zake za msingi , ikiwa ni pamoja na tiba, elimu, kuishi, nk

Maendeleo, kila mwanadamu anahitaji maendeleo yake binafsi iwe ni katika kilimo, kazi, biashara, nk. Ukishawawezesha watu wako mmoja mmoja kupata maendeleo ndipo unakuja na maendeleo ya ujumla.

Watanzania ebu tuangalie tulikotoka na hali tuliyonayo tusirudie makosa.

Kwa kauli mbiu ya hii ya CHADEMA, nawapa hongera.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
amen mungu ibariki nchi yetu lakini kwa uongozi ndugu urais haujaribiwi lissu anataka kujaribu eti ikuli ikoje na anataka ahurumiwe kwa kupigwa na vitu vyenye ncha kali hana uwezo wa kuongoza nchi anatamka mambo ambayo hayatekelezeki eti utalipa fidia ya mishahara ambayo haijaongezwa kwa miaka mitano si umwehu huo hela anatoa wapi ya kufanya hivyo asione mwenzie anafanya mambo makubwa nakuzikusanya ni shughuri kuwa unaona anavyobana mafisadi wanazitapika? yeye hataweza maana ndiyo ndugu zake
 
Uhuru wa kupora mali za nchi na kutolipa kodi. Ni aibu kukosa sera yaani hospital kibao zimejengwa, elimu bure

Bila miundo mbinu hizo bidhaa za kilimo zitafikaje sokoni.

Hebu tumieni akili
Kwani nini maana ya maendeleo, jaribu kupanua ubongo wako kaka.
 
Kuna haja gani ya kuongoza chama kisichokubalika na wananchi?
Chama ambacho hakishindi bila kuiba kura.
Chama ambacho viongozi wake wanakiri hadharani kuwa ushindi wait unatokana na kuwatumia polisi na TISS.
Chama ambacho kinaitumia NEC kuwaengua wapinzani wake.
Hiki chama hakika Ni CHAMA CHA MASHETANI
 
amen mungu ibariki nchi yetu lakini kwa uongozi ndugu urais haujaribiwi lissu anataka kujaribu eti ikuli ikoje na anataka ahurumiwe kwa kupigwa na vitu vyenye ncha kali hana uwezo wa kuongoza nchi anatamka mambo ambayo hayatekelezeki eti utalipa fidia ya mishahara ambayo haijaongezwa kwa miaka mitano si umwehu huo hela anatoa wapi ya kufanya hivyo asione mwenzie anafanya mambo makubwa nakuzikusanya ni shughuri kuwa unaona anavyobana mafisadi wanazitapika? yeye hataweza maana ndiyo ndugu zake
Kwani Magu si kila siku anasema Tena hadharani kuwa alibip au ulisha sikia kuwa kuna chuo cha kusomea urais
 
Huwezi kuwa na haki kama hujatimiza wajibu wako,na huwezi kuwa huru kama unamtegemea fulani ndiye akuendeshee uchumi wako,hata siku moja haitakuja kutokea mtu hasiyewajibika kwa familia,nchi akawa huru,uhuru na haki ni sera ya kijinga kabisa kwa sababu duniani kote hakuna nchi hisiyo na gereza wala polisi.

Pia tumeshuhudia wahubiri haki wakiwemo hao waliomtuma waliua maelfu ya wakongo,na mpaka leo Ubelgiji wanaitumia kongo kwa manufaa yao hawataki itawalike, ndio maana soko kubwa la almasi lipo belgium na pia unatakiwa uelewe nchi kama marekani wanahubili haki lakini leo hii R. Kelly anasota magerez kwa makosa ya kusadikika, haki iko wapi,polisi wa marekani kila leo wanaua watu weusi kwa risasi, wakikamata mtoto, mwanamke ni pingu za nyuma haijalishi kosa lako hata madai ni pingu tu, leo museme uhuru na haki ni haki gani mnazozitaka kutukanana mnataka muanze kukimbia wakati muko stage ya kutambaa,sikuzote kurukia tabia ya mtu fulani au maisha ya watu fulani huwa kuna madhara yake.

Zamani tulikuwa tunaona mtu anayetumia madawa ya kulevya ni mjanja sana lakini kwa sababu ya kuiga,kuvaa mlegezo,na kufanya ujinga ambao sisi kama taifa tukiletewa tulipaswa kuchambua na kuutafakali,hatuwezi kuliiga taifa lililo na uhuru kwa miaka 200 wao wamepitia vizazi vingi vya elimu Tanzania tupo kizazi cha tatu ambacho kinajikongoja kwa elimu ya kukalili na si kuelewa.
Haki zipo kwenye Katiba yetu,swali ni je Nini kimetokea Hadi Leo watu sanazidai ?
 
Haki ya ushoga kwa kisingizio cha haki ya faragha...
Maendeleo wakati mmeshindwa kujenga hata ofisi, mna umri wa miaka 28 sasa bado mnafuja na kula ruzuku tu.
Mtume picha za mabakuli yenu mkiwaibia machalii Chuga leo 😁
 
Haki zipo kwenye Katiba yetu,swali ni je Nini kimetokea Hadi Leo watu sanazidai ?
Wapo wajinga wanaodhani kuwa ubelgiji hakuna sheria za ukwepaji kodi,wanadhani ubelgiji hakuna magereza,mataifa yote duniani yanasheri na wapo wanaozilalamikia kwa sababu tu sheria zimeundwa ili zifuatwe sema ukishakuwa mwanasheria tena mwanaharakati na wakili wewe utasimamma kumtetea muuaji,jambazi,muhujumu bila kujali amefanya au hajafanya na anafanya hayo kwa malipo leo hii lissu awe mtetetzi wenu kweli watu wana akili.
 
Haki ya ushoga kwa kisingizio cha haki ya faragha...
Maendeleo wakati mmeshindwa kujenga hata ofisi, mna umri wa miaka 28 sasa bado mnafuja na kula ruzuku tu.
Mtume picha za mabakuli yenu mkiwaibia machalii Chuga leo [emoji16]
Ebu sema Cha ajabu kilicho fanywa na CCM ambacho si wajibu wa serikali zote duniani.
 
Chumaaaa😂😂😂
 
Attachments

  • Like_6834864576564941475.mp4
    586.6 KB
Back
Top Bottom