Uchaguzi 2020 Uhuru, Haki na Maendeleo: Sera bora kabisa kuwahi kutokea

Uchaguzi 2020 Uhuru, Haki na Maendeleo: Sera bora kabisa kuwahi kutokea

Sera ya CHADEMA ya Uhuru na Haki yawagusa viongozi wa juu CCM Mpya

Bashiru Ally katibu Mkuu wa CCM Mpya ajitokeza na kurudia neno uhuru, uhuru lililopo ktk Ilani na kampeni za CHADEMA na kuonekana akubali umuhimu wa Uhuru kwa wakulima, wafanyakazi, waTanzania na ...
 
CCM Mpya waanza kuelewa somo la Uhuru na Haki hivyo kujaribu kuja na tafsiri yao juu ya maana ya Uhuru kwa wote kitu walichokisahau hata katika kushirikisha au kushawishi umma wa waTanzania kupewa uhuru wa kutoa maoni nchi iendeshwe vipi na kodi zitumike namna gani.
 
Sera bora ambayo haijawahi kutokea.

Mwanadamu yeyote yule anahitajika kuwa huru katika maamuzi, na hii ndio maana kamili ya utashi. Hongereni CHADEMA.
Haki kila mwanadamu yeyote yule anazo haki zake za msingi , ikiwa ni pamoja na tiba, elimu, kuishi, nk

Maendeleo, kila mwanadamu anahitaji maendeleo yake binafsi iwe ni katika kilimo, kazi, biashara, nk. Ukishawawezesha watu wako mmoja mmoja kupata maendeleo ndipo unakuja na maendeleo ya ujumla.

Watanzania ebu tuangalie tulikotoka na hali tuliyonayo tusirudie makosa. Kwa kauli mbiu ya hii ya CHADEMA, nawapa hongera.

MUNGU IBARIKI TANZANIA.
The best manifesto ever
 
Sera ya CHADEMA ya Uhuru na Haki yawagusa viongozi wa juu CCM Mpya

Bashiru Ally katibu Mkuu wa CCM Mpya ajitokeza na kurudia neno uhuru, uhuru lililopo ktk Ilani na kampeni za CHADEMA na kuonekana akubali umuhimu wa Uhuru kwa wakulima, wafanyakazi, waTanzania na ...

Imepenya kila mahali. Watakubali tu.
 
Back
Top Bottom